Ninaomba ushauri wa kuachana na vimeo

Ninaomba ushauri wa kuachana na vimeo

wanawake wote hao unawaridhishaje, weye kuku tu,mwenyewe wajiona malaaaaaya kumbe unahanzuka,na usipotulia mwenyewe subiri kutulizwa
 
nimefurahi michango positive mizuri iliyotolewa. Naamini kuna wanaume na wanawake watafaidika na ushauri huu; post yako itakuwa imewagusa wengi..
 
Kugundua tatizo ni sehemu ya suluhisho,JF haiwezi ukuamulia cha kufanya mkuu.Chunga usije poteza huyo mke mzuri uliyepewa na Mungu
 
Gepema, hongera sana kugundua matatizo yako. Pole sana na Mungu akutie nguvu.

Sasa nakushauri ujiunge na JF SACCOSS mambo yote na addiction zako zitakuwa ndiyo basi.

Tuma email address na namba yako ya simu nikuweke kweye list. Nina uhakika umepona.

SEMA AMEN.
 
Gepema, hongera sana kugundua matatizo yako. Pole sana na Mungu akutie nguvu.

Sasa nakushauri ujiunge na JF SACCOSS mambo yote na addiction zako zitakuwa ndiyo basi.

Tuma email address na namba yako ya simu nikuweke kweye list. Nina uhakika umepona.

SEMA AMEN.
Sikujua kwamba hii nayo ni dawa...?
Lakini kwa tabia zake angalie asije akavunja ndoa za watu huko..
 
get sorry ma bro as longer as u decided 2 change u will put ur trust in God try harder 2 avoid circumstance zinazokupelekea situation hiyo
 
Hongera ka kuikubali hali uliyonayo,
Yote yawezekana ukimtanguliza mungu na ukiwa na iman kuwa nikamua kuacha nitaweza na utaweza kweli,
muonbe sana mungu na kaa utubu umalaya wako uliokuwa unaufanya na muombe sana mungu nina iman utafanikiwa na usisahau kuwaaambia ukweli hao malaya uliokuwa nao kuwa sasa hutaki kuendelea nao upo kwa mke wako hutaki kumchanganya na wao
 
Kaka, Hili tatizo sio lako peke yako.
Au mabinti wa sikuhizi hawajui kukataa.

hata mimi nasumbuka sana na hili tatizo...
ila mimi huwa naishia kucheza na mind zao nakuwa mgumu sana kuwamega
 
Gepema, pole kwa hali hiyo, hili mara nyingi limekuwa ni tatizo la kujitakia na unapokuwa unalitenda unakuwa kama kipofu vile! ni bahati sana kufanikiwa kugutuka kabla ya kukukuta ya kukukuta! I was in the same position lakini nashukuru nimefanikiwa kupambana nalo na niko huru mno, muhimu
  • jua kwamba wewe ndie KIMEO na sio hao unaowaita vimeo, so wa kubadilika kwanza ni wewe na sio wao
  • imekuwa na nadra sana mabinti kumtokea mwanaume,mazingira ya wao kukutokea huwa yanatengenezwa na wewe mwenyewe! kama mawazo yako hayako huko believe me wala huwezi waona hao unaosema wanakufuata,badilisha mind set yako
  • jua kuwa shetani ana uwezo wa kukusaidia kufanikisha maovu hivyo muepuke!
  • shinda matamanio yako mzee, mkeo ana kila kitu.siku za nyuma nilikuwa nikipishana na mabinti lazima nigeuke...siku hizi wote huwa nawafananisha na dada zangu
  • Ipende familia yako,jaribu kutumia muda unapopata nafasi mwingi ukiwa nayo ..
  • ni vizuri ukawafahamisha hao uliokuwa unawafuata juu ya uamuzi wako na pia ikibidi uwaombe msamaha kwani naamini kuna walio innocent ambao bila kujua walikuona unawafaa
  • kila laheri
 
Hiyo ni tabia kama tabia yoyote,na unaweza ukaacha ukitaka hakuna anaeshindwa kuacha jambo lolote,tatizo ulilonalo ni kuwa unataka kuacha huku unataka au unataka kuacha bila kuwajibika kwa maumivu,kubali kuumia kwa muda ili uache mambo hayo,hakuna tabia sugu inaondoka hivi hivi tu mpaka uamue kutoka moyoni pia upambane na hisia za mazoea,utasumbuka mwanzo tu,unapopata wazo la wanawake wako wa nje jiambie mke wangu ni mzuri kuliko huyu,taratibu utawaona sio lolote mbele ya mkeo!
 
Yote mtashauri kwa wema lakini huyu anahitaji maomb yake binafsi. Cha kukushauri mwambie mkeo haya uliyotueleza hapa na umpe uhuru wa kukulinda kokote unakokwenda. Mpe simu zako ashike na huru kujibu sms za hao mbweha wako, wataacha kukutafua na wewe utakuwa safe

Pole sana, kwa nini ulijilea kwenye maadili ya kishetani hivyo?
 
Pole mkuu,kwa tatizo ambalo mm cjawahi kutembea na wanawake hata 2,ulivyosema 90 mwili wangu umesisimka sana.
 
Pole mkuu kwa kushindwa kufanya chaguzi, kwa kua kiruka njia! Hebu tulia sasa!
 
Unajua hiyo ni kama madawa ya kulevya, ushakuwa addictive, baasi kwa njia ileile ya madawa nayo jaribu kuitumia kuwaacha wanawake wako wa nje, embu kaaa na mkeo jaribu kumwangalia tafuta vitu vilivokuvutia mwanzo wa mahusiano yenu, ili umpende zaidi, jaribu kuwa unatka nae maa kwa mara kuepuka kupata muda wa kufanya maovu, nendeni holiday ili muwe close again, na kama uliweza kaa miaka mitano, utashindwa nini sasa hivi? jiangalie upya na jipende mwili wako ndugu yangu, maana una hali mbaya sana...........ISHI
 
nakushaur uendelee tu na hao malaya wako coz kama ukwaacha wakati una uwezo wa kuwaridhisha wote, shemeji atapata tabu sana mana atakua peke yake.,..
 
Mpe mambo mkeo wakati una nguvu sio unazimalizia nje halafu ukishazeeka ndiyo utulie na kumzeekea zaidi.
tuacheni utani huyu msela tatizo lake tunalo wengi aisee......sema mie huwa najijua na nina uwezo wa kuacha taia fulani hata kwa mitulinga.....hakuna kimtu kina tabia ya kutamani shoriz kama mie......nikijua kitu kimetoka sukumaland rangi nyeupee na body zileee aah lazima nipumzike.....
mara ya kwanza nilikuwa sina chaguzi weusi white woote twende.....wanene vimobitel kanyaga twende.....mbaya zaidi nilikuwa penda penda shori za shule hasa sekondari tena hasa hasa za skuli ya makongo.....jamani shori zile zilinipeleka puta.....

......nikahamia kwa mamiss vitongoji.....nilikamua ile mbaya nakumbuka zamani nilikuwa sikosi miss vitongoji mpaka nikaunda urafiki an benny kisaka......kwenye kambi lazima nitembelee.....
...Nikaona tabia hii sio umashuhuri wa ubabe ni ubazazi,uzinzi na uasherati huwezi kupata awards kwa kuwa mzinzi.....nikabadilika.....nikaacha uasherati nikageukia ulabu kidoogo nikasahau nao nimeacha kwa sasa na kashori kamoja ka sukuma land kabishi hako......ijumaa saa 6 tu keshatia timu hupumui nako ndio kamenisaidia mpaka sasa iam HIV -VE

mastore yoote hayo ni huyu muasherati gepema yeye kavuka mipaka kaoa lkn bado anakamua totozi nje....mpuuzi kweli.....tena he has a son....kuacha makitu hayo wewe kata kamba tu ghafla usiende kwa washauri nasaha hao watakupoteza idea zao ni za vitabuni.....mpige sopu sopu shori wako afu ukitoka job wahi maskani...fanya kama week hivi uone......
 
Back
Top Bottom