Ninaombeni connection ya kazi - Dar

Ninaombeni connection ya kazi - Dar

Habarini Wakuu.
Nipo mbele yenu ninaomba kuunganishwa na kazi ili mradi nipate kipato changu halali.

Nitaeleza kilichonikuta kwa ufupi.

Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Usimamizi Wanyamapori (bado sijaajiriwa huu ukiwa mwaka wa 9). Nina familia ya watoto wawili ingawa kwa sasa ninaishi na mmoja na mama yake.
Kuna kipindi niliitwa interview Mkoa X, nilipofika wakaniomba hela 1.1 M ndipo nipate kazi. Sikuwa nayo, niliikosa ile kazi. Nikajiongeza nikaomba nafasi nijishikize Ofisi Serikali na nilifanikiwa nikawa nina hakika ya kupata elfu 60 kwa mwezi (inaitwa OC, walooajiriwa wanajua). Kile kipato ikanibidi nipange Geto, nile, ninywe n.k
Huku Dar mama mtoto ana kazi yenye mshahara wenye 6+ digits. Nikawa ninarudi Dar mara chache sana kwa mwaka. Mpaka mwaka jana nikaona nimejishikiza sana pale na bado sioni future hivyo nikaamua kurudi Dar.
Nimefika home maisha yakaendelea vema na mama mtoto.
Siku moja nikamwambia kwa kuwa wewe una kutana na wengi huko makazini, ninaomba nipambanie nipate pa kujishikiza sio lazima iwe kazi ya professional yangu. Akakubali. Nakumbuka nilimkumbusha mara 2 hivi akawa ananitajia nitaongea na Y na Z. Kumbe bwana Z ni mchepuko wake (hapo nilikua sijui).
Siku moja amerudi home toka kazini bwana Z akampigia simu mama mtoto nikiwa naye. Akapokea. Ila alivokua anaongea ilinipa mashaka kwasababu alikua anamjibu sivyo, mara kigugumizi (nadhani mnaelewa). Nikamwambia mbona unaongea hivo? Akanijibu ni mmoja wa niliyemuomba kazi kwa ajili yako. Tobaaa! Nikashangaa ndio unamjibu hivo? Hiyo kazi nitapata kweli? Nikawa interested kujua zaidi. Mama mtoto akaniambia tuingie ndani, akili yangu ikaniambia huyu anataka amtumie jamaa msg (kama vile nilikuwepo akilini mwake). Tukaingia room ila mwenzangu akatoka Sebuleni na simu yake mkononi, nami kwasababu nimejua lengo lake nikatoka pia nikaenda nje moja kwa moja. Haraka akarudi room kutoka Sebuleni. Nami sekunde kadhaa nikarudi haraka room. La haula! Nikampokonya simu, kweli akawa amemwandikia jamaa asipige simu sababu amekamatwa (alikuwa bado hajaituma kwa jamaa). Niliumia sana. Nikamkumbusha kuwa nilikuambia hii simu nina mashaka nayo na hata unachonielezea kwamba jamaa anakutongoza si kweli na hata macho yako yanaonesha unanidanganya. Akabaki hajui la kufanya.
Nilimtxt jamaa kwa maneno ya kuumiza sana ila hakujali wala nini. Mama mtoto alifita ile namba ya jamaa. Nikasamehe. Zikapita wiki kadhaa. Jamaa akamtafuta tena mama mtoto na hapo mama mtoto alikua amenipatia simu yake (anataka niaminisha hana tena mawasiliano na jamaa). Nikawa interested kujua ukweli wa natafutiwa kazi au kuna lingine. Nikachat na jamaa kupitia simu ya mama mtoto. Aisee! Mwishowe nikagundua hawa ni aidha walikua au ni wapenzi. Nikamrudi kwa mama mtoto aniambie ukweli wa hili. Kweli bwana mama mtoto akasema nilipokuwa Mkoa X sikuwa namtumia hela hivyo akawa na jamaa kwasababu alikua anampa hela (Niliumia sana, nashindwa kueleza ila mwanaume aliyechapiwa mkewe anajua maumivu haya). Nikajiuliza kumbe mimi ninapambana Mkonai, huku mwenzangu ana mahusiano mapya na anataka mchepuko wake uniunganishie kazi Ofisini kwao (hii ni dharau kubwa sana). Mama mtoto ana mshahara mzuri lakini bado aliingia tamaa ya hela.
Nimeulubali ukweli huo, nikasamehe ila kisahau bado. Mwanamke nikamwambia kufuta namba ya jamaa wala si suluhisho. Onhea nae muelezee A, B, C. Akakubali. Siku moja tulipiga simu kwa jamaa akatublock.
Ni maumivu makali sana ninayo kwa kutoa kuwa na kazi. (Nimefupisha story, yanaumiza nikikumbuka zaidi).

Ninaombeni mnisaidie nipate kazi ili nisahau hilo jambo maana nitakuwa busy.
Nina tanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wakuu.
Dah pole sana Mkuu, limeniumiza sana hilo najua changamoto ambazo huwa tunapitia mambo ya kiuchumi yakiwa yamegoma. Sema nakusihi mrejee Mungu katika imani yako na uombe kwa bidii akufungulie njia za kiuchumi. Huo mkwamo sio wa kawaida
 
Attachments

  • Screenshot_20250227_214633.jpg
    Screenshot_20250227_214633.jpg
    230.9 KB · Views: 2

Pole sana kwa wakati mgumu unaopitia hakika utavuka salama na utakuwa imara.
Nashauri uendelee kuwa nae Wala usithubutu kumwacha kwani unaelekea kuyamaliza makandokando ubakiwe na kitu halisi ila ni suala la mda tu.
Maumivu unayopitia ni ya mda Wala usifikirie yatakuwa siku zote milele.
Kama unamwamini Mungu tenga mda zungumza nae, nae atakupa njia Wala usiwe dhaifu kwa kukosa nguvu ya pesa ndani, weka misingi ya familia Yako haijalishi kwa mazingira Gani itakusaidia sana.
Yashinde mawazo mabaya kwa mema nawe utajenga funzo kwa mwenza wako Wala usiyape nafasi yasiyojenga.
Unanafasi kubwa ya kujenga Wala usiwaze kisasi.
 
Attachments

  • 20241124_140551.jpg
    20241124_140551.jpg
    411.2 KB · Views: 2
Habarini Wakuu.
Nipo mbele yenu ninaomba kuunganishwa na kazi ili mradi nipate kipato changu halali.

Nitaeleza kilichonikuta kwa ufupi.

Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Usimamizi Wanyamapori (bado sijaajiriwa huu ukiwa mwaka wa 9). Nina familia ya watoto wawili ingawa kwa sasa ninaishi na mmoja na mama yake.
Kuna kipindi niliitwa interview Mkoa X, nilipofika wakaniomba hela 1.1 M ndipo nipate kazi. Sikuwa nayo, niliikosa ile kazi. Nikajiongeza nikaomba nafasi nijishikize Ofisi Serikali na nilifanikiwa nikawa nina hakika ya kupata elfu 60 kwa mwezi (inaitwa OC, walooajiriwa wanajua). Kile kipato ikanibidi nipange Geto, nile, ninywe n.k
Huku Dar mama mtoto ana kazi yenye mshahara wenye 6+ digits. Nikawa ninarudi Dar mara chache sana kwa mwaka. Mpaka mwaka jana nikaona nimejishikiza sana pale na bado sioni future hivyo nikaamua kurudi Dar.
Nimefika home maisha yakaendelea vema na mama mtoto.
Siku moja nikamwambia kwa kuwa wewe una kutana na wengi huko makazini, ninaomba nipambanie nipate pa kujishikiza sio lazima iwe kazi ya professional yangu. Akakubali. Nakumbuka nilimkumbusha mara 2 hivi akawa ananitajia nitaongea na Y na Z. Kumbe bwana Z ni mchepuko wake (hapo nilikua sijui).
Siku moja amerudi home toka kazini bwana Z akampigia simu mama mtoto nikiwa naye. Akapokea. Ila alivokua anaongea ilinipa mashaka kwasababu alikua anamjibu sivyo, mara kigugumizi (nadhani mnaelewa). Nikamwambia mbona unaongea hivo? Akanijibu ni mmoja wa niliyemuomba kazi kwa ajili yako. Tobaaa! Nikashangaa ndio unamjibu hivo? Hiyo kazi nitapata kweli? Nikawa interested kujua zaidi. Mama mtoto akaniambia tuingie ndani, akili yangu ikaniambia huyu anataka amtumie jamaa msg (kama vile nilikuwepo akilini mwake). Tukaingia room ila mwenzangu akatoka Sebuleni na simu yake mkononi, nami kwasababu nimejua lengo lake nikatoka pia nikaenda nje moja kwa moja. Haraka akarudi room kutoka Sebuleni. Nami sekunde kadhaa nikarudi haraka room. La haula! Nikampokonya simu, kweli akawa amemwandikia jamaa asipige simu sababu amekamatwa (alikuwa bado hajaituma kwa jamaa). Niliumia sana. Nikamkumbusha kuwa nilikuambia hii simu nina mashaka nayo na hata unachonielezea kwamba jamaa anakutongoza si kweli na hata macho yako yanaonesha unanidanganya. Akabaki hajui la kufanya.
Nilimtxt jamaa kwa maneno ya kuumiza sana ila hakujali wala nini. Mama mtoto alifita ile namba ya jamaa. Nikasamehe. Zikapita wiki kadhaa. Jamaa akamtafuta tena mama mtoto na hapo mama mtoto alikua amenipatia simu yake (anataka niaminisha hana tena mawasiliano na jamaa). Nikawa interested kujua ukweli wa natafutiwa kazi au kuna lingine. Nikachat na jamaa kupitia simu ya mama mtoto. Aisee! Mwishowe nikagundua hawa ni aidha walikua au ni wapenzi. Nikamrudi kwa mama mtoto aniambie ukweli wa hili. Kweli bwana mama mtoto akasema nilipokuwa Mkoa X sikuwa namtumia hela hivyo akawa na jamaa kwasababu alikua anampa hela (Niliumia sana, nashindwa kueleza ila mwanaume aliyechapiwa mkewe anajua maumivu haya). Nikajiuliza kumbe mimi ninapambana Mkonai, huku mwenzangu ana mahusiano mapya na anataka mchepuko wake uniunganishie kazi Ofisini kwao (hii ni dharau kubwa sana). Mama mtoto ana mshahara mzuri lakini bado aliingia tamaa ya hela.
Nimeulubali ukweli huo, nikasamehe ila kisahau bado. Mwanamke nikamwambia kufuta namba ya jamaa wala si suluhisho. Onhea nae muelezee A, B, C. Akakubali. Siku moja tulipiga simu kwa jamaa akatublock.
Ni maumivu makali sana ninayo kwa kutoa kuwa na kazi. (Nimefupisha story, yanaumiza nikikumbuka zaidi).

Ninaombeni mnisaidie nipate kazi ili nisahau hilo jambo maana nitakuwa busy.
Nina tanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wakuu.
Kiongozi huna haja ya kuonyesha unyonge mbele ya mkeo kwakuwa huna kazi .

Tafadhali simama kama mwanaume hata kama huihudumii familia Kuna namna flani unakuwa mpk mkeo anajiuliza hivi huyu akipata kazi au hela itakuwaje?

Acha unyonge dunia haina huruma
 
Mshara wa 60k Daresalaam umepanga chumba mtaa gani cha bei gani na nauli unatumia shingap per day, maji ya kunywa, Kula ukiwa kazini?, what about salio la dk, na mb unaweka shingapi kwa wiki mwenzio ana mshahara wa 6 digits? Akakubali kuwa kwenye mahusiano nawewe?
 
Mkuu hapo ni kwake, kwako au kwenu nyote??
Hizo stress za mapenzi + uchumi ni changamoto!!

Kazi za viwandani, godown vipi ushacheki hizo kwa kujishkiza maana ndio inakuaga last option hiyo kwa wengi.
Hapa tumepanga, awali nilikuwa vizuri financially hata nilikuwa nina uwezo wa ku-pay bills (nilitapeliwa hela yote, hii story nyingine).
Sijacheki hizo Mkuu sababu sina A wala B juu ya hizo kazi
 
Mshara wa 60k Daresalaam umepanga chumba mtaa gani cha bei gani na nauli unatumia shingap per day, maji ya kunywa, Kula ukiwa kazini?, what about salio la dk, na mb unaweka shingapi kwa wiki mwenzio ana mshahara wa 6 digits? Akakubali kuwa kwenye mahusiano nawewe?
Mkuu ungesoma vizuri.
60k nilikuwa napewa (OC) nikiwa Mkoa X sio hapa Dar.
Awali nilikuwa stable financially na mnapoanza mahusiano sio lazima mwanaume uwe na hela ndipo ukubaliwe.
 
Back
Top Bottom