Ninaombeni connection ya kazi - Dar

Tafuta hata KAZI hizi kampuni kubwa za ulinzi wanalipa si chini ya 280000 utajishikiza kama kianzio au vipi tafuta KAZI nje ya nchi utapata.
Au tafuta walimu wakufunze jinsi ya kupata pesa online usitumie bando lako kuangalia ujinga.
Ni wanawake wachache sana wenye huruma na mwanaume asiye na kitu,labda wale wa kiroho ( kiroho sio dini) siku hizi kuchapiwa ni sawa na nzi kuingia kwenye glass ya bia.
 
Izo dharau mm nisingeweza kuvumilia ningesepa zangu kupambana kivyangu.
 
Tafuta hata KAZI hizi kampuni kubwa za ulinzi wanalipa si chini ya 280000 utajishikiza kama kianzio au vipi tafuta KAZI nje ya nchi utapata.
Au tafuta walimu wakufunze jinsi ya kupata pesa online usitumie bando lako kuangalia ujinga.
Ni wanawake wachache sana wenye huruma na mwanaume asiye na kitu,labda wale wa kiroho ( kiroho sio dini) siku hizi kuchapiwa ni sawa na nzi kuingia kwenye glass ya bia.
 
Ndio maana sitaki kukaa hivi, ninatafuta nijishikize mahali. Angekuwa mwanaume mwingine angeridhika maana ananiachia Card yake ya bank, natoa hela, nafanya manunuzi mbalimbali as a man. Lakini mimi hii ndio siitaki, I want to earn my own.
 
Ila maisha Bana naona Ofisini kuna madogo wa 2000 ajira Mpya wasimamizi wa wamyama pori alafu wa miaka 9 yupo kitaa.
So sad
 
Mkuu, nitajaribu kuanza kuzunguka kwenye Kampuni za ulinzi.
Ninashukuru sana kwa ushauri wako.

Ninaomba nisaidie kama kuna mwalimu yeyote unayemfahamu nimtafute tafadhali.
 
Mkuu, acha tu. Nimejitafuta sana ila sijakata tamaa. Ninaomba wadau wanisaidie niepukane na hiki kikombe
Hakuna connection ya KAZI au maisha kila kitu unavipata online siku hizi.
Maumivu yako wengi wanayapitia thus ukiona mwanaume baada ya kufanikiwa akaoa mwanamke mwingine huwa sio kichaa ujui amebeba nini sema wanawake huwa wanaangalia mwisho na sio chanzo.
We hata wakisema nilimvumilia wakati wa shida kapata maisha kaniacha we funga vioo hata kwa Mungu hauna hatia,hatia utakuwa nayo kama hakukutenda ukiwa masikini ukaja mtenda baada ya kupata.
Sheria ya asili inasema unavuna ulichopanda
 
Ninakushukuru sana kwa ushauri wako Mkuu.
Umenipa nguvu asubuhi hii.
 
Typing error au sijui ndio nilichanganyikiwa.
6 digits nilitaka kumaanisha 6 zeros (Yaani mshahara wake ni 1+M)
 
Kama unatafuta kazi ili usahau alokufanyia mzazi mwenzako bado unakosea, haiwezi kuwa ni suluhisho. Huez kusahau tukio la kusalitiwa kwa kupata kaz, maana utaenda kazin utarudi home utamkuta mzaz mwenzako na kumbukumbu zitaendelea kuwepo. Kama lengo lako ni kumsahau na kusahau yalotokea, basi suluhisho ni wewe kuondoka hapo Home, ondoka bila hata kumuaga, nenda mkoani popote ukajitafute huko kwa jasho na damu huku ukimtanguliza Mungu kwa kila hatua naamin utapata tuu maana Mungu hakukuumba ili uje kuteseka duniani, ila changamoto n kwamba tunateseka kwasabbu hatujazijua njia zetu za mafanikio na ndo twatakiwa kuzitafuta bila kuchoka na silaha kubwa ikiwa ni kumwomba Mwenyezi Mungu sana.
Tafuta kazi ili uboreshe maisha yako na sio kwaajili ya kumsahau mkeo.

Halafu,, mwanamke had anakubali kumpanulia mwanaume mapaja basi ujue kampenda, na sio tamaa. Na ndo maana wadau wanashaur mwanamke akisha cheat basi ujue hana tena upendo kwako bali anakuigizia, na ataendelea tuu kama sio kwa huyohuyo basi ataendelea kwa wengine. WEKA AKILINI HILO.

USHAURI WANGU: Usiishi kwa mateso eti kwasabbu ya watoto, Teseka uwezavyo ila hao watoto wakikuwa wakubwa wataimba "NANI KAMA MAMA". Utakuwa umenielewa...
 
Sifa ya mwanaume ni kua na pesa iwe kidogo isiwe kidogo, mwanaume hutakiwi kukosa pesa ya vitu kwa ajili ya familia,
Labda kama umepata maradhi huwezi simama.
Yani mtaani ni pagumu kwenye ndoa usiseme pambana tu ufanye hata saidia fundi, ufanye na biashara ambazo hazihitaji mtaji hapo kaa fikilia kuna uwinga, udalali wa nyumba, bodaboda kwa mkataba, na nyingine nyingi.
Tofauti na hivo eeeeeeh.
"Wanaume mmeumbwa mateso kuhangaika".
 
Daah! Nimekuelewa vizuri sana Mkuu.
Asantee.
 
Ni kweli Mkuu. Nimefikiria baadhi ya ulivovitaja hapo. Ninaendelea kutafuta patakapopatikana nitapambana hapo hapo
 
Duuuh.. Wanawake wanatamaa kwel, mshahara ziro 6 bdo alitaka pesa kwa mchepuko. KIMBIA HILO NI BOM MBELEN

Na shida sio pesa kwa mkeo alikuambia tu ili upoe, make anajua kukuset na ukatulza mshundu. KIMBIA HILO NI BOM MBELEN

Usiwe mnyonge kisa huna kazi na yey anakaz kua na msimamo wa kiume.

Pia unaonekana muoga wa maisha, hebu simama na ujipange kivyovyote uanze upya, ingia mitaan kwanza pga kaz yoyote usiangalie vyeti na mkeo atakuonaje maisha ni yako kwanza. ILA MKIMBIE ATAKUJA KUKULIPUA ashazoea za nje hawaachagi koz wenzetu wana mapepo.

nakupa akili sasa..
Toboa kupitia mkeo yan umchune, pakua yey anamshahara wa milion+, fanya umpe wazo la biashara ama kilimo na wew ndo utasimamia yey hatakua na mda. Atakupa pexa na ufanye kwel na kwa juhud mtaj ukue na uwe na akaunt yako benk..

Maana najiuriza mkeo analipwa mshahara mzuri pesa anapeleka wapi? Au hamna malengo ya pamoja.

Nenda nae polepole kama umeshasahau
 
Sababu ya kuchepuka kwa mkeo unayo sasa unashindwa kusahau vipi? Fungua kiduka cha mangi anzia hapo.
Kama wewe ni dada hujanielewa vizuri.
Ninaomba upitie tena thread.
Ninafunguaje duka na sina hela? Ninatafuta kazi hata ya saidia fundi nianze upya kujitafuta.
 
Ninakuelewa Mkuu.
Sina uoga wa maisha Mkuu. Hiyo story ni kwa ufupi tuu. Nisingeweza eleza kila moment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…