Umesema mkeo ana mshahara mkubwa si ndo umuazime kidogo ufungue kidukaKama wewe ni dada hujanielewa vizuri.
Ninaomba upitie tena thread.
Ninafunguaje duka na sina hela? Ninatafuta kazi hata ya saidia fundi nianze upya kujitafuta.
Ludia kusoma koment yangNinakuelewa Mkuu.
Sina uoga wa maisha Mkuu. Hiyo story ni kwa ufupi tuu. Nisingeweza eleza kila moment.
Kama nakuona siku ukizipata 😅Nishamuelezea sana ideas za biashara mbalimbali lakini ndio hivo (hela ya mtu ni mtu)
Fanya hivo na kidogo unachopata kawekeze shamban sana mpunga au nunua wakat wa mavuno weka store, utakupa hexhma tu mmamaKwasasa ninachokiwaza ni kutafuta kazi na kutafuta hela zaidi (kama ilivyokuwa awali). Mapenzi/ mahusiano kwasasa ninayapa kisogo.
Kiliko kukaa home bila mishe ni bora utoke ukachakalikie hizo mbanga, mwanamke anatoka kwenda job anakuacha halafu jioni anarudi anakukuta haijakaa sawa.Hapa tumepanga, awali nilikuwa vizuri financially hata nilikuwa nina uwezo wa ku-pay bills (nilitapeliwa hela yote, hii story nyingine).
Sijacheki hizo Mkuu sababu sina A wala B juu ya hizo kazi
Duh! Duniani kuna maajabu jamani.Pole Sana Mkuu
Swala la kuchapiwa lipo Sana , kuna ndugu yangu alikuwa ameolewa na Ana mimba ya Mme wake miezi Kama 8 Ila alikuwa anaenda kutembea na Mme wa mtu mwingine.
Yaani IPO hivi wanawake huwa wanapenda kwenda kujifungulia nyumbani kwao mimba zikikua Ila ndo kipindi hicho hicho wanachipuka na matumbo Makubwa just imagine
So nadhani concentration ielekeze katika kupata kazi na insha ALLAH utapata
Kweli Mkuu. Nimeshaanza kutoka toka japo bado sijaotea.Kiliko kukaa home bila mishe ni bora utoke ukachakalikie hizo mbanga, mwanamke anatoka kwenda job anakuacha halafu jioni anarudi anakukuta haijakaa sawa.
Hao wenzetu uvumilivu wa kumhudumia mtu asie ndgu yake hawanaga.
Khaa kumbe hela zake bado unazimendea?nikajua ni najisi pia...wewe jipambanie kivyako acha kuplay victim haitasaidia kitu mwaya!seems umeoa sio level zako atakutesa hadi ujuteYeah! Nimempa idea ya biashara lakini ndio hivo nimeona bora nitafute pa kujishikiza.
Amen!
Mkuu, nilimjibu aliyeniuliza kwanini nisiazime hela kwa mama mtoto. Ndio nikamwambia nilimpa ideas za biashara mbalimbali (kumbuka hapa nilimpa ideas kabla sijajua lolote nyuma ya pazia).Khaa kumbe hela zake bado unazimendea?nikajua ni najisi pia...wewe jipambanie kivyako acha kuplay victim haitasaidia kitu mwaya!seems umeoa sio level zako atakutesa hadi ujute
Mungu akutangulieKwasasa ninachokiwaza ni kutafuta kazi na kutafuta hela zaidi (kama ilivyokuwa awali). Mapenzi/ mahusiano kwasasa ninayapa kisogo.
Tell me what woman can offer or trade in front of man bro?anataka mchepuko wake uniunganishie
Mkuu umeandika kitaalamu hiyo paragraph ya mwisho kama sijaielewa elewa hiviTell me what woman can offer or trade in front of man bro?
Man up!!
Silaha ya mwanamke kuishi hapa duniani ni mwili wake yaani kingine mkuu, yaani utamjengea , kumpa gari yeye hana cha kukupa zaidi ya mwili wake ndio wa thamani kwake pia Kama anakupenda, jiulize iyo bidhaa inapokuja duniani Iko sealed kabisa ili kukuhakikishia wa iyo bidhaa kuwa bado haujaguswa na kitu kabisa.
Sasa wewe kunywa soda na ilhali ujitoe akili mie sijawahi inywea iyo chupa na niliachamo mate yangu pia na wewe unamalizia kula
Daaah! Aisee. Hawa wenzetu bana mhmh!Pole sana ndugu hakuna kitu kinauma kama wakati huna kitu halafu mwanamke anakuletea dharau ni maumivu makubwa.
Mimi nilikuwa naishi na mwanamke japo yeye alikuwa hana mbele wala nyuma nilikuwa nampambania kila kitu lakini dharau haziishi siku tulio achana aliniambia bora nikadate na bodaboda kuliko wewe nilimuachia kila kitu nikaenda kwa jamaa yangu kuanza maisha mapya.
Nilipata relief maana nilichokuwa napata kwenye vibarua kilikuwa kinanitosha vizuri mm mwenyewe.
Kuanzia hapo maisha yangu yalibadilika nikapata mwanamke mwingine 18yrs tukaanza maisha alikuwa ananiheshimu sana na kunipa ushauri tofauti tofauti namna ya kupanga bajeti etc Maisha yalibadilika sana nikawa sikosi pesa ndani na furaha ikaongezeka, nikaanza kuapply hadi kazi nilizosomea siku tunapata mtoto wakwanza kesho yake nikapata kazi nzuri.
Kuna wanawake wanamikosi ukiendelea kukaa nae maisha yako yatakuwa ya dhiki milele haiwezekani analala na mwanaume mwingine halafu wewe unaendelea kukaa nae chukua hatua bro ni bora ukaanze moja usifikirie kulipa kisasi utajipa stress bure.
NAKAZIAMwanamke akisha kucheat haitakiwi kurudiana nae. Cha kufanya hapo chukua kila kitu ndani uza kwa bei ya hasara hapa Nina maanisha uza takataka zote ndani utapata mtaji na pesa ya kupanga chumba uanze maisha uyo mwanamke muache na mtoto wako wakilala chini najua atapata vitu hata kwa kukopa wewe kapanbanie maisha Yako
Uza vitu vyote ndani au hamisha yey akiwa hayupo
Iwe mtaji wako
huyo jamaa kalogwa sio bure mtoto hana hatia? unauhakika gani ni mtoto wako?Kwani nani kasema mtoto ana hatia? Una uhakika huyo ni mtoto wako?
Ukiona mwanamke anang'ang'ana na mchepuko jua kuna tàtizo kubwa. Uatuawa bure.