Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Depression ndio inakufanya ww usifanye kazi?Kuna kitu kinaitwa depression sijuh kwenye maisha yako umepitia Ila siku ukilogwa utaeleza vizur
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Depression ndio inakufanya ww usifanye kazi?Kuna kitu kinaitwa depression sijuh kwenye maisha yako umepitia Ila siku ukilogwa utaeleza vizur
Yaliyompat na ushahid Kuna mtu yalimpata pia na sio kama alikuwa awez kufanya kituDepression ndio inakufanya ww usifanye kazi?
Conservation Officer...!??Mimi ni Mhifadhi, Mkuu.
Nipo flexible sana nina uwezo wa ku-learn quick na nikafanya kazi itakayopatikana.
Wa level zake atampalasa, akomae na huyohuyoAtafute wa level zake ataumizwa zaidi
Huna helamkuu utarudi tu in anyways..Wakuu, nimerudi tena kwenu.
MWANAMKE MSALITI HAPASWI KUPEWA SECOND CHANCE.
MSAMEHE KISHA ONDOKA.
Nilidhani utani kumbe kweli. Kama awali nilivosema, huyu Mwanamke kumbe ana rafiki yake wa kike ndiye wanajazana ujinga. Nimekuta wanawasiliana na kupeana updates na mbaya zaidi ni yule rafiki ake anaandika msg za kejeli na vijembe kwangu na kumtumia mama mtoto. Mama mtoto naye hana cha kusema anasema ngoja tuone mwisho wake litakuaje hili jambo.
Sasa nimeamua kuondoka, sijali tena kuhusu mtoto wangu. Ngoja niwaache waendelee kushauriana. Mwenzake yupo kwenye mahusiano yake anafurahia, yeye anashaurika utoto na ujinga. Halafu ajabu huyo huyo rafiki yake muda huu anamshauri mama mtoto aniombe tena msamaha. Ila wanawake daah!
Pamoja na kwamba amenipigia magoti kuniomba sana msamaha, ninasamehe lakini sifanyi ujinga wa kuendelea na haya mahusiano.
Ninatamani nimpige tukio (sio kumdhuru) ila huruma inanijia hasa nikitafakari masuala ya kidini.
Yaani nirudi kwa huyu mwanamke kisa mshahara wake wa zero 6? Nina mikono miwili kabisa halafu useme nitarudi. No! Enough is enough.Huna helamkuu utarudi tu in anyways..
Unajifariji tu hapa mwenzako wala hajali deep inside anaona zigo la mavi limehepa
vipi umepata paa kujishikizaYaani nirudi kwa huyu mwanamke kisa mshahara wake wa zero 6? Nina mikono miwili kabisa halafu useme nitarudi. No! Enough is enough.