Ninaombeni ushauri, kila ninachowaza kujikomboa kiuchumi sifiki mbali

Hi wote,

Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34.

Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck.

Hapa ni saa 9 usiku usingizi umekata nawaza tuu. Sina mtaji, sina chanzo chochote cha kupata hela niweze kufanya biashara.

Hata biashara yenyewe nikiwaza sipati picha kamili ntafanya biashara ipi although napenda sana shughuli za kilimo.

Naomba mnisaidie ushauri na mawazo. Natanguliza shukrani za dhati
Njoo tulime nyanya huu ndio msimu,ntakupa shamba na ushauri bure
 
Vipi upatikanaji was Masha, VA ya kukodi na bei ikoje?
Mashamba ya kukodi yapo, mimi mwnyw nakodisha mashamba (ya kwangu mwnyw) bei laki na nusu per acre. Maji uhakika 24/7

Kijiji kipo 25kms toka Ruaha mbuyuni (main road ya Moro to Iringa) Kijiji kina umeme, mitandao yote inapatkana, facilities zingne km maduka ya pembejeo yapo, nyumba za kupanga ukihitaji zipo, ngo'mbe wa kulimia wanapatkana, ukitaka kutumia tractor sawa. Ni wewe tu boss utavyojipanga.
 
Tafuta Maji ya upako ya Mwamposa,uwe unakunywa na kuogea utoe mikosi kwanza.
Alafu huwa hatuanzi kutafuta mtaji kwanza,tunatafuta wazo la Biashara kwanza ambalo ndiyo litaamua uwe na mtaji kiasi gani.
Usipuuze kujilinda kiroho,tafuta maji ya upako!
Hili swala la maji ya upako, halina tofauti sana na kwenda kwa mganga kisha ukapewa dawa za kunywa na kuoga.
 
Mashamba ya kukodi yapo, mimi mwnyw nakodisha mashamba (ya kwangu mwnyw) bei laki na nusu per acre. Maji uhakika 24/7
Kijiji kipo 25kms toka Ruaha mbuyuni (main road ya Moro to Iringa) Kijiji kina umeme, mitandao yote inapatkana, facilities zingne km maduka ya pembejeo yapo, nyumba za kupanga ukihitaji zipo, ngo'mbe wa kulimia wanapatkana, ukitaka kutumia tractor sawa. Ni wewe tu boss utavyojipanga.
Mnatumia pump za mafuta au mifeleji
 
Hi wote,

Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34.

Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck.

Hapa ni saa 9 usiku usingizi umekata nawaza tuu. Sina mtaji, sina chanzo chochote cha kupata hela niweze kufanya biashara.

Hata biashara yenyewe nikiwaza sipati picha kamili ntafanya biashara ipi although napenda sana shughuli za kilimo.

Naomba mnisaidie ushauri na mawazo. Natanguliza shukrani za dhati
Pole sana
 
Nilishalima vitunguu ila sikupata mafanikio. Bali napenda sana ukulima. Sana. Sijakata tamaa ramani zikisomeka tena nitarudi huko huko kwenye kilimo.
Mkuu samahani sana naomba nikuulize maswali haya machache.

a. Pamoja na kwamba unapenda sana kilimo je umewahi kufanya biashara yeyoye ndovo tu ya kawaida?

b. Je uko tayari kufanya biaahara yeyoye ndogo halali kwa lengo la kujipatia kipato bila kuona aibu.

c. Je una nia/dhamira ya dhati ya kufanya biashara? au ni option tu inayokubidi uifanye?

d. Je waweza hapo ulipo waweza kupata mtaji wa sh. elfu 60(sitini elfu)? kama mtaji?

Kama majibu kwa asilimia kubwa ni "ndio" basi nicheki nikuelekeze biashara ya kufanya.
 
Uzi wa 2022 we unamjibu 2025

Ungemcheki PM it could make sense

Japo umfanya vzr Ila muwe mnasoma na kuangalia uzi wa lini n.k
 
Daah! Mkuu shukrani sana kwa angalizo hili. Kiukweli sikuzingatia kabisa muda wa uzi huu. Labda kwa kuwa ndio nimeiona uzi huu kwa mara ya kwanza nikajua ni wa hivi karibuni. Next time nitakuwa makini mkuu. Asanye sana.
 
Lingekuwa n swala la wao kuamua, nadhani wengi sana wangekuwa kwenye ndoa zao.
Basi wasileteage nyoddo kama wanalijua hilo kuwa mwisho wa siku ndoa wanaitaka lakini vidume wanao tuita mbwa ndio wenye final say kwenye hilo jambo
 
Una final say kwenye nini wewe kataa ndoa?
 
Sie ndio vidume...tuna final say wether tukuwoqe au tukuacche uwe single maza.
Nyie tuiteni mbwa tuu sie tunawacheki mtaingia kwenye anga zetu....so mkae kwa akili.
 
Ha haaa yaani tunaviziana na wewe ukae kwa akili kama unayo.
Hapo ulipo umeshatengeneza single maza wangapi?
 
Kibamia chenyewe kina shoot blanks tuu...vipi nije unipe mtoto wa kiume bwana.
Mie akili niliyonayo ni ya kuvuka barabara kwa usalama
 
Sasa mikwara yote ya nini hebu nipishe huko😃
 
Pole sana kwa hilo nachokushauri focus kwa kile unachoona kitachokusaidia au km huna mtaji tafuta ka ambayo ni halali yenye mtaji mdogo usione aibu.

Maisha ni yako jitahidi sana kila utakachofanya ujiwekee akiba bila kuitoa jiwekee target baada ya hapo utaona matunda yake.

Mimi mwenyewe nilikua muhanga kila siku kichwa kilikua kinauma lkn nilikaa chini nikajiuliza mbona Mungu amenipa kila kitu hali ya kua kuna baadhi wahajakamilika na wanapambana.Nilipata ujasiri mno full kujinyima nlipokua nakosa mpaka hivi leo nashukuru nilipofikia sikati tamaa japo changamoto hazikosekani.
Ulifanyaje mkuu,naomba muongozo na mimi
 
Back
Top Bottom