SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja.
Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa mbalimbali, Kamanda Kova nisingemsahau angekuwa mtu wa Kwanza kumpa kitengo hasa kwenye maeneo yanaofanana na taluma yake. Maana AWAMU ilopita alijitahidi sana. Namba mbili kumteua hata watani wa jadi wangenishangaa ni kumpa Haji Manara naye ukuu wa wilaya, ili wanasimba wenzangu pia turidhike maana wenzetu wanaye tayari wao huko Arumeru wanaona ni hatua kubwa klabu yao imepiga kuliko kuuza wachezaji Ulaya au kujitahidi kutinga robo fainal ya klabu bingwa Africa,
Namba 3 nisingemsahau shehe wa mkoa wa Dar wa hivi sasa mimi ni mkristo huyu ustadhi anastahili cheo cha ziada kingine zaidi ya hicho nakubali sana hekima zake ningempa majukumu zaidi mahali ambapo ningeweza kumpenyeza popote kwenye uwazi. Namba 4 mama Terry sijui yuko wapi kwa sasa nakumbuka enzi hizo nakua ndio alikuwa mshauri nasaha, kwa uzoefu wake asingekosa kazi ya kufanya hasa kwenye mapambano haya ya sasa ya Corona.
Bambo asingekosa kazi labda Kingwendu awe mchoyo maana amejaribu kuyapima maji huko Kisarawe mbele ya Jaffo inaonyesha uongozi anauweza ningemjaribu kwa kumteua hata awe Ras wa mkoa akajifunze zaidi ili akomae zaidi kiongozi, Basi bambo angeponea hapo.
Teuzi ziko nyingi lakini kwa leo nimalizie na hii namba 5.Mchungaji Gwajima anastahili kuwa mahali Fulani na akawasaidia watz kwa elimu yake wapinga maendeleo ya watu hapo lazima watapayuka lakini kumbukeni hizo ni ndoto tu.
Karibuni tuote wote