Sio lazima uwe na hati mkuu,,kuna kitu kinaitwa residential permit(kibali cha makazi) vinatolewa kwa maeneo ambayo hayajapimwa but watu wameshayaendeleza(kwa kujenga nyumba za kuishi specifically)
Hicho kibali cha makazi kinatosha kuchukulia mkopo
Mbona pesa kdogo sana hiyo! Wewe hamini nini hapo?
Hujui kuna watu wanapata mpaka million 100 kwa mwezi sasa fanya mahesabu yako upate kwa siku, na bado wapo wa juu yake