Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Miss Natafuta kumbe umejiunga JF juzi? Mengine tutaongea inbobo
 

Pole sana usikate tamaa ukiona Giza linazidi basi mapambazuko yanakaribia, tuombeane uzima nikirudi Tanzania wiki ijayo nitakutafuta, nimfadhili huyo dogo kwenye swala la masomo yake
 
Usimhusishe Mungu kwenye huu upumbavu, em soma mada na uielewe
 
Usimhusishe Mungu kwenye huu upumbavu, em soma mada na uielewe
Haijalishi anadanganya au anaongea ukweli Mungu atamsaidia hicho anachopitia afuate maelekezo niliyo andika huo ndio msaada mkubwa ambao hauna masharti wala dhihaka. Mungu atampelekea watu wa kweli mara baada ya kumaliza hayo maombi. Watu wote ni wa Mungu Mungu hashindwi kuwapeleka. Mungu ni zaidi ya akili na mawazo yake.
 
Ww, hv umesoma mada yake?
 
Huenda anajaribu kuficha watu wasimjue yeye ni nani kutokana na mapito aliyopitia.

..........Akieleza uhalisia itakuwa rahisi watu kumjua na kujua kuwa alikuwa anajiuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…