magwamaka
Senior Member
- May 20, 2023
- 120
- 266
Acha roho mbaya ya kiparena ubahili wa kipare kama huwezi msaidia mtu si acha watu watamsaidiaYn mtoa mada na hao wanaompa wote wapumbavu tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya ya kiparena ubahili wa kipare kama huwezi msaidia mtu si acha watu watamsaidiaYn mtoa mada na hao wanaompa wote wapumbavu tuu
Miss Natafuta kumbe umejiunga JF juzi? Mengine tutaongea inboboHabari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Habari wana Jf kwa ujumla.

2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro
Pole sana usikate tamaa ukiona Giza linazidi basi mapambazuko yanakaribia, tuombeane uzima nikirudi Tanzania wiki ijayo nitakutafuta, nimfadhili huyo dogo kwenye swala la masomo yakeHabari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Usimhusishe Mungu kwenye huu upumbavu, em soma mada na uieleweNaomba ufanye jambo moja utapata majibu mazuri leoleo Mungu wetu ni mwenye huruma. Mwombe Mungu aliye ziumba mbingu na nchi. Mwambie Mungu naomba nitoe roho ya hofu na wasiwasi naomba roho ya ujasiri. Naomba fungua milango yangu ya kiuchumi iliyofungwa. Omba kwa muda mrefu mpaka utakapo ona umepata amani baada ya hapo tulia kusubiri majibu mazuri kutoka kwa Mungu. Katika maombi ya hakikisha umevaa roho ya haki unapoanza kufanya maombi ambapo unaweza kuanza kwa maombi ya toba kwanza.
Pumbavu mkubwa ww, em soma mada yake vzr acha kukurupuka bwege mrembo wwAcha roho mbaya ya kiparena ubahili wa kipare kama huwezi msaidia mtu si acha watu watamsaidia
Haijalishi anadanganya au anaongea ukweli Mungu atamsaidia hicho anachopitia afuate maelekezo niliyo andika huo ndio msaada mkubwa ambao hauna masharti wala dhihaka. Mungu atampelekea watu wa kweli mara baada ya kumaliza hayo maombi. Watu wote ni wa Mungu Mungu hashindwi kuwapeleka. Mungu ni zaidi ya akili na mawazo yake.Usimhusishe Mungu kwenye huu upumbavu, em soma mada na uielewe
Wapo tena wengi inategemea jamii tunatofautiana utakuta Mwanamke aliachika akaolewa tena au Utakuta Mama alikua single mother alichelewa kupata mtoto wapili.Hujaona ndugu wanatofautina umri kwa miaka 25?.
Ww, hv umesoma mada yake?Haijalishi anadanganya au anaongea ukweli Mungu atamsaidia hicho anachopitia afuate maelekezo niliyo andika huo ndio msaada mkubwa ambao hauna masharti wala dhihaka. Mungu atampelekea watu wa kweli mara baada ya kumaliza hayo maombi. Watu wote ni wa Mungu Mungu hashindwi kuwapeleka. Mungu ni zaidi ya akili na mawazo yake.
😂😂😂 Pole daddy......Niache, mtoa mada kanichafua
Akili yangu inaniambia huyu ni mwanaume
Huenda anajaribu kuficha watu wasimjue yeye ni nani kutokana na mapito aliyopitia.Mleta uzi ni tapeli asiye na akili.
Ili uwe tapeli tena wa kuwatapeli wanaJF, basi uwe guru katika kutengeza uongo unaoendana na ukweli kwa zaidi ya 90%. Basi hata uchukue hela zao ila ukitumia akili nyingi katika strategy zako.
Haiwezekani abadani ukasoma UDSM Diploma.
Nimeuliza anasema eti ni PGD.
Post Graduate bila Degree? Ama bila Advanced Diploma? Aisee!.
Anachodai alitumia cheti cha mtu kwa sababu chake kiliteketea, hii inamake sense kwa wapuuzi wenzake tu.
Anadai wazazi wake walimuacha na mdogo wake. Huku gap yake yeye na mdogo wake wa KIPEKEE ni zaidi ya miaka 25, hii inakuingia akilini? Kama ndiyo, basi wewe ni mpuuzi pia.
Mtoa mada, anatumia sensitiveness ya swala la kujiuza. Kuwa idadi kubwa ya wanajamii hawawezi na kamwe wasingetaka mtu aliyeacha kujiuza ila arudi huko. Hivyo, anataka huruma ya jamii juu yake.
Huu ni ukuda. Upumbavu wa ajabu.
Hahaaaaaanadai alishawahi kuwa changudoa kwa miaka 6 hapohapo anakwambia anaweza kulea watoto kama yaya
Soma jina vizuriMiss Natafuta kumbe umejiunga JF juzi? Mengine tutaongea inbobo
toboa tobo mkuu..,kama ni tapeli tujue.. ...kuna watu wanawatoa imani wanaotaka kusaidia wahitaji wa kweli.. .. .. !Dada acha haya majadiliano, unaanza kunikwaza; endelea na mengine niweze kuendelea kukusitiri!
toboa tobo mkuu..,kama ni tapeli tujue.. ...kuna watu wanawatoa imani wanaotaka kusaidia wahitaji wa kweli.. .. .. !
Mtoa mada kama adanganya mola anamwona, kama anasema ukwelili vivyo hivyo mola anamwona mkuuOk udsm wanatoa dip hiyo maake naona watu wanataka kujua ?