Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Safi, kwa kuajiriwa kazi za ndani ungependa kulipwa sh ngapi?
Mdogo wako anasoma private au serikalini?

Nijibu kupitia PM
 
Nnajua weng tuna shida mbal mbali. Lakn ingekua vema kumchangia huyu Dada hata 1,000 kwa kila member humu ndani. Hili awez kupata mtaji wa Biashara. Admins/Staff pamoja CEO wa jamii forum mkiamua hili jambo linawezekana. Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…