Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mpendwa...mbona jina linasomeka tofauti inamaana wana kaza fuvu tuuYaani jf ina mambo mkuu.watu washasema najiuza yaani
Ila
Mod Mungu anawaona
Moto uko pale pale ๐ uzuri aliyenisababishia ban namjua na bado nazid kumpelekea moto huko huko alipoMkuu habari za ban๐คฃ๐๐คฃ
sawa mkuu lakini watu wanamchangia .. ..mbaya ni kwamba sio mkweli.. .. bora limwage tu ... .. aargh!.. ..ngoja ninyamaze lkn ushanikera kinyama..Katulia Ngoja nimsitiri
Aisee ujue sikugundua kabisa. Tangu nasoma huu uzi picha inayonijia ni ya Miss NatafutaHuyo ni miss Natafuta huyu ni miss anaetafutwa
Aisee ujue sikugundua kabisa. Tangu nasoma huu uzi picha inayonijia ni ya Miss Natafuta
sawa mkuu lakini watu wanamchangia .. ..mbaya ni kwamba sio mkweli.. .. bora limwage tu ... .. aargh!.. ..ngoja ninyamaze lkn ushanikera kinyama..
Safi, kwa kuajiriwa kazi za ndani ungependa kulipwa sh ngapi?Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Mtajua wenyewe wachangiaji mlioguswa๐Kaweka hiyo profile kimtego, unakuta ni li dume
Mtajua wenyewe wachangiaji mlioguswa๐
Nnajua weng tuna shida mbal mbali. Lakn ingekua vema kumchangia huyu Dada hata 1,000 kwa kila member humu ndani. Hili awez kupata mtaji wa Biashara. Admins/Staff pamoja CEO wa jamii forum mkiamua hili jambo linawezekana. Asanteni.Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Ni dume huyu .Kaweka hiyo profile kimtego, unakuta ni li dume
My dear..muda wote najua ni wewe. Nikasema miss kapatwa na nini jamani?๐Ni dume huyu .
Halafu naona mods hawajanitendea haki
Ahaaaa jamani Acha tuAisee ujue sikugundua kabisa. Tangu nasoma huu uzi picha inayonijia ni ya Miss Natafuta
Yaani watu wamenitafuta balaa.nikasema kumbe raia humu wananijali jamani loohMy dear..muda wote najua ni wewe. Nikasema miss kapatwa na nini jamani?๐
MmmhSafi, kwa kuajiriwa kazi za ndani ungependa kulipwa sh ngapi?
Mdogo wako anasoma private au serikalini?
Nijibu kupitia