Tunakujali sana..sio siri nilisikitika😀Yaani watu wamenitafuta balaa.nikasema kumbe raia humu wananijali jamani looh
Ni dume huyu .
Halafu naona mods hawajanitendea haki
Polee hahahaha na mm nilijua tuu ume overlookAisee ujue sikugundua kabisa. Tangu nasoma huu uzi picha inayonijia ni ya Miss Natafuta
Ila mods wanatakiwa waangalie hizi issue za majina.Aisee pole Madam, nilipoona Hilo jina nikafikiri ni wewe wakati na soma ikabidi nirudi kwenye profile ndo nikaona Mbona mtego huu
Dah😥🤔,.Internet is scam dear jf members so behave smart
Kuna moja alituambia ametapaliwa na mtu aliyefyatuka mavazi ya usister mpaka leo haijamake sense 😀😀
Thanks friend🙏Hayajakukuta mkuu halafu mleta uzi ni Dada uwezo wa kustahimili mambo ni tofauti na wewe
Aah Babuuu😄😂anadai alishawahi kuwa changudoa kwa miaka 6 hapohapo anakwambia anaweza kulea watoto kama yaya
Imesoma comments zote aisee,.
Mabint tujitahidi walau miaka30 itukute kwenye ndoa kama sio tuwe tumejipanga vizuri na vita ya Uchumi
😃😃😃Imesoma comments zote aisee,.
Mabint tujitahidi walau miaka30 itukute kwenye ndoa kama sio tuwe tumejipanga vizuri na vita ya Uchumi
For real,Ndoa Ikija upo 30 basi binti awe unaweza kujisimamia sio kwenda kumtegemea mwanaume
Yeah, nina mtoto wa kike wa miezi mitano mpaka february anatimiza sitaMmmh
Kwakweli,.😃😃😃
Ms Leejay49 ndoa sio tatizo, tatizo ni pale Mabinti wanapokuwa wameweka vigezo ambavyo haviwezi kukidhi mahitaji yao.
Haya maisha wakati mwingine huamua kukupelekesha na kukuacha sehemu ambazo hujui utafanya nini.
Mungu ambariki sana Kaka Maxence Melo kwa kuanzisha huu mtandao at least wakati mwingine tunapeana ushauri, tunasaidiana nk
Kuna mambo mengi hapo ya ku considerKwakweli,.
Lakini 42yrs inaogopesha mkuu
sIjui niseme alijisahau sana au ndio alijikatia tamaa mapema
Ila mods wanatakiwa waangalie hizi issue za majina.
Mfano uttoh20002 mtu akijiita hivo si tutaona ni wewe?