Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

downloadfile.jpg
 
Imesoma comments zote aisee,.

Mabint tujitahidi walau miaka30 itukute kwenye ndoa kama sio tuwe tumejipanga vizuri na vita ya Uchumi
😃😃😃
Ms Leejay49 ndoa sio tatizo, tatizo ni pale Mabinti wanapokuwa wameweka vigezo ambavyo haviwezi kukidhi mahitaji yao.

Haya maisha wakati mwingine huamua kukupelekesha na kukuacha sehemu ambazo hujui utafanya nini.

Mungu ambariki sana Kaka Maxence Melo kwa kuanzisha huu mtandao at least wakati mwingine tunapeana ushauri, tunasaidiana nk
 
Diploma ya ualimu, ukabanwa na cheti feki. Alooo. Halafu tena, kazi ya kulea watoto. Pia, ulijiuza miaka 6! Mi naona tu urudi kujiuza ndo utaweza. Vinginevyo, hata hizo kazi utatumia akili feki
 
Yeah, nina mtoto wa kike wa miezi mitano mpaka february anatimiza sita
Kwa kuwa kasema anaweza kulea ndo maana nimeuliza, maana mtoto akishatimiza miezi sita anaanza kula hivyo mama yake atakuwa anaenda kazini ndo maana nimeuliza, sasa hivi nimemwambia mama mtoto asubiri kwanza mtoto afikishe miezi sita kisha ndo nimruhusu
 
😃😃😃
Ms Leejay49 ndoa sio tatizo, tatizo ni pale Mabinti wanapokuwa wameweka vigezo ambavyo haviwezi kukidhi mahitaji yao.

Haya maisha wakati mwingine huamua kukupelekesha na kukuacha sehemu ambazo hujui utafanya nini.

Mungu ambariki sana Kaka Maxence Melo kwa kuanzisha huu mtandao at least wakati mwingine tunapeana ushauri, tunasaidiana nk
Kwakweli,.
Lakini 42yrs inaogopesha mkuu
sIjui niseme alijisahau sana au ndio alijikatia tamaa mapema
 
Kwakweli,.
Lakini 42yrs inaogopesha mkuu
sIjui niseme alijisahau sana au ndio alijikatia tamaa mapema
Kuna mambo mengi hapo ya ku consider
Kwanza alikuwa anatumia vyeti feki hiyo ni laana, pili hiyo kazi aliipata kwa kuvua chupi na siku zote unapokuwa umepitia shortcuts maisha yako yatakuwa ya majivuno na kutotaka mahusiano mazuri na watu.

Kama mahusiano na watu hauna utapata je tena michongo? Kwa mwanamke akijiona ana muonekano wenye kuvutia ataingia kwenye kujiuza tu.
 
Ila mods wanatakiwa waangalie hizi issue za majina.
Mfano uttoh20002 mtu akijiita hivo si tutaona ni wewe?

Kabisa, kuna heshimu mtu unajijengea humu, mtu akiweka jina similar inakuwa mthihani; hili dume lina matatizo, alitaka kutumia reputation yako!
 
Back
Top Bottom