Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Subira ni ibada usikate tamaa mambo yakuwa sawa mpaka hutoamini
Oya hayuko sawa body count unajua inasoma ngapi hapo mpaka muda huu?

Hesabu miaka 6 piga hesabu ndogo kila mwezi wanaume 10 tofauti tofauti piga mara 12 piga mara miaka 6, kwa kadrio la chini tu. Unapata jibu ngapi?
 
an anzisha mama ntilie
 
acha lawama zisizo na maana wewe pambana na maisha yako hakuna serikali itakayokuletea mtaji nyumbani kwako
Hapo unamwambia mleta mada sio mimi unajua mimi najaribu kumsaidia mleta mada sio kujisaidia mimi, mikopo isiwe ya kwenu peke yenu na ndugu zenu na ukoo wenu kuna watu km hawa wanateseka kwa kujiuza nyinyi mpo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…