zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Haya sasa Majina yako matatu tafadhariAsante sana kaka.
Hakika na iwe hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa Majina yako matatu tafadhariAsante sana kaka.
Hakika na iwe hivyo
Noma sana umepiga pabaya watu waamesoma wamefaulu vizuri sana vyeti OG kabisa sio feki wanavyo na kazi wala ajira hawana vimelala tu kabatiniKuna wenzako Wana vyetu vyenye ufaulu mzuri tuu ila hawana kazi
Hapo umemaanisha asingeandika alichoandika au afute alichoandika?Truth are good , but not all truth are good to hear keep that in mind ,and you will thanks me later
Umeulizwa swali mboni hujalijibu umeruka?Asante sana.
Yaani pesa yote nilikuwa namalizia ujenzi, sikuweka hata akiba.
Halafu huku nilikuwa nasomesha mimi mwenyewe
Kwa nini umeamua kutumia ID ya member maarufu humu jukwaani? @Miss Natafuta?
Wewe bado mdogoKumbe jamii forum wanawake wakubwa
Yule mama amekusikia atakupa ajira km alivyopewa deblabantCha umuhimu ni kuwa nahitaji ajira na uhitaji
Mitano tena kwa mamaUkirudi kwenye kujiuza na umri huo ni hatari kwako.
Ilikuakuaje mpaka ukasema sasa mimi kuanzia leo naacha kujipiga bei?Amina Manyanza ....yaani sihitaji kabisa kurudi nilikotoka.
Na wala sitaki kukumbuka maisha yangu ya nyuma.
Hat ushauri wenu pia unanipa moyo mno.
Nawashukuru sana.
Oya hayuko sawa body count unajua inasoma ngapi hapo mpaka muda huu?Subira ni ibada usikate tamaa mambo yakuwa sawa mpaka hutoamini
anzisha mama ntilieHabari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Biashara mtaji Halmashauri mitaji si mnapeana wenyewe nyinyi na watoto wenu mbwanyinyi mnaona watu wanavyopitia mateso hawa?an
anzisha mama ntilie
kwahiyo hao wote wanaofanya biashara wamepewa hela na serikali?Biashara mtaji Halmashauri mitaji si mnapeana wenyewe nyinyi na watoto wenu mbwanyinyi mnaona watu wanavyopitia mateso hawa?
Si ndio inavyojitamba kwamba imewapa mitaji, kumbe mnapeana wenyewe familia ukoo humo humo mnaunganisha humo msiemjua hausiki na nyinyi hamumpi mkopo akajiuze hukokwahiyo hao wote wanaofanya biashara wamepewa hela na serikali?
acha lawama zisizo na maana wewe pambana na maisha yako hakuna serikali itakayokuletea mtaji nyumbani kwakoSi ndio inavyojitamba kwamba imewapa mitaji, kumbe mnapeana wenyewe familia ukoo humo humo mnaunganisha humo msiemjua hausiki na nyinyi hamumpi mkopo akajiuze huko
Hapo unamwambia mleta mada sio mimi unajua mimi najaribu kumsaidia mleta mada sio kujisaidia mimi, mikopo isiwe ya kwenu peke yenu na ndugu zenu na ukoo wenu kuna watu km hawa wanateseka kwa kujiuza nyinyi mpo tuacha lawama zisizo na maana wewe pambana na maisha yako hakuna serikali itakayokuletea mtaji nyumbani kwako
UDSM hakuna Diploma ya Education. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa
Postgraduate Diploma in EducationUDSM hakuna Diploma ya Education
Hapo sawa, maana UDSM hoja za kuanzisha Diploma huwa inakuwa discouraged, na ni schools/colleges kama nne tu zimeruhusiwa kutoa diplomaPostgraduate Diploma in Education
Nop ni mkubwa kidogo30Wewe bado mdogo