Miss Natafutwa
Senior Member
- Dec 18, 2024
- 190
- 593
- Thread starter
-
- #41
PGDE.UDSM walishawahi kutoa Diploma?
Wakubwa watuambie.
Lakini kwa gap ya miaka yako, huyo si mdogo wako. Huyo ni mwanao. Mtoto aliyepo Form 3 sasa, akiwa mkubwa sana basi ni 18 years.
Hivyo kuna gap ya miaka 24. This is insane.
Kwa nini umeamua kutumia ID ya member maarufu humu jukwaani? Miss Natafuta?
Weka mpira kati Mwamuzi wa TanzaniaMwaka wa kila kitu kuwa wazi.
Kila mwanamke ni kahaba sema tu wale ambao si makahaba mazingira yao yamewahifadhi.
98% of women are potential prostitutes lakini mazingira ndiyo huwatambulisha
Niliiona mkuu.Kuna mdau anaitwa Lethergo alianzisha hii mada...
Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo
Pole sana mkuu..
Amina Manyanza ....yaani sihitaji kabisa kurudi nilikotoka.Pole sana Miss Natafutwa nashindwa hata namna ya ku kushauri. Lakini zingatia sana kuwa ni mtu wa shukrani kwa kila jambo.
Maisha siku zote hayawezi kwenda vile unavyotarajia. Nakumbuka habari ya Dada wa Mariah Carey alipata mpaka ugonjwa wa ukimwi kwa sababu ya changamoto kama ulizo nazo wewe lengo ni kupambana na haya haya maisha.
Pole sana endelea kuwa na uvumilivu.
Subira ni ibada usikate tamaa mambo yakuwa sawa mpaka hutoaminiHabari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu.
Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza).
Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini.
Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu)
Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Pole sana ndugu Mungu akutangulie waja wasikie kilio chako mamaHabari wana Jf kwa ujumla.

Kabisa.Kama ni 2000 bado una chochote cha kumsaidia ndugu yetu toa neno naye atapona mana matatizo yatampata mtu yeyote awe tajiri au masikini
Wewe ndo pia Miss Natafuta umeona ubadilishe kidogo jina? Halafu umejichanganya. Kuwa ulitumia cheti. Ulikuwa na cheti fake. Sasa unasema una Diploma ya Education toka UDSM. labda miaka yenu hii UDSM imeanza kutoa Diploma. Miaka yetu haikuwa inatoa Diploma. Upo hapa kutafuta watu wajiingize kuliwa.Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu.
Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza).
Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini.
Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu)
Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Post Graduate Diploma?PGDE.
Ni mdogo wangu na si mwanangu.
Cha umuhimu ni kuwa nahitaji ajira na uhitaji.
Kama unaweza kunisaidia sawa ila kama utaona haikupendezi basi usinizibie riziki kwa wanaotaka kunisaidia.
Hapana haikufika mil10.Rais Samia aliwapa kiinua migongo wafanya kazi feki,wewe hukupewa? Kama ulifanya kazi Kwa miaka SITA namimi ulilipwa zaidi ya 10M ulipeleka wapi?
Asante sana na ndio manaa sitaki kabisa kurudi nilikotoka.dahh pole sana mkuu, ila hyo biashara ya kubadili utu wako kwa pesa acha kabisa, Mungu atakufungulia milango ya baraka.
Cheti kikichomwa moto si unaenda NECTA kutafuta kingine? Ulifanya hivyo?Asante sana kipenzi.
Hapana, ni kwamba niliuziwa cheti cha mtu aliyemaliza form 4 nikaenda nacho kusomea ualimu ngazi ya certificate na diploma kwa kutumia jina lake.
Kipindi hiko mimi nilikuwa nimemaliza kidato cha nne miaka kama 3 iliyopita na cheti changu kilichomwa moto na msichana wetu wa kazi.
Hivo nilipanda na jina lake mpaka kufikia ngazi ya diploma (katika kujiendeleza) ndipo nikatumbuliwa hukohuko.
nimeumia sana sijui kwa nn