Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

PGDE.
Ni mdogo wangu na si mwanangu.
Cha umuhimu ni kuwa nahitaji ajira na uhitaji.
Kama unaweza kunisaidia sawa ila kama utaona haikupendezi basi usinizibie riziki kwa wanaotaka kunisaidia.
Ila wewe dada mwongo sana! Una diploma ya education ambayo uliipata pale UDSM baada ya kujiendeleza. Hapa sasa unasema una PGD ya Education. Ni wapi ambako mtu alitoka certificate akaenda kusomea PGD? Rekebisha kwanza wasifu wako!
 
Hii ya kujiuza imeingia ili kuwaapproach wanaume. Na wengi watazama ktk mtego huo.
 
PGDE.
Ni mdogo wangu na si mwanangu.
Cha umuhimu ni kuwa nahitaji ajira na uhitaji.
Kama unaweza kunisaidia sawa ila kama utaona haikupendezi basi usinizibie riziki kwa wanaotaka kunisaidia.
Kweli we una stress kali sana😄😄 au lah hujui unachoandika... umetumia cheti cha form four cha mtu kusoma Diploma UD, sasa hivi unasema ni Post Graduate Diploma/Degree In Education tena UD, acha ungese... Usitufanye wajinga humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…