Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Cc. Evelyn salt, money penny na wengineNa katika kuwakumbusha members warembo wa jf, ambao saiz ni pisi kali.
Katika age hii, kama hujaolewa ni kipindi kigumu sana maishani.
Kuna baridi nyingine itakupiga hutoamini, tutakua tukikutaza nje una tabasamu tele, lakini ndani rohoni utakua na maumivu hayaelezeki.
Kila siku unaona jirani zako wanagombana mara wanabebishana na waume zao, wewe umekaa hapo pembeni unabwekewa tu kimbwa chako ki chihuahua.
Wadogo zangu wa kike, mjinga mmoja wa kiume akitokea anataka kukuoa usijifanye bado unakula ujana, kuna kipindi hata uliowakataa utawakumbuka na hautowapata.
Mungu akikujalia ukawa na visenti ndio utaishia kuwa mshangazi, unachukua vitoto vya wanawake wenzio unavivulia chupi, unavinyonya vyota zao tu.
Waione kwenye jarada na wenzie