Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Ni la msingi mkuu tena sanaa
 
Tuna consolidate power! Kufeni, mfufuke shauri yenu..................... nafikria hiyo ndiyo kauli za wenyer madaraka CCM
 
Kwa maelezo yako nimeelewa kwamba Jeshi la zimamoto na uokozi ndo lenye wajibu wa kuokoa watu kwenye majanga ya majini.
Nipo sahihi?

Wote wanastahili jeshi haliwezi kulala usingizi ikiwa idala husika inapwaya walitakiwa wawe mstali wa mbele km vitani angalia kwenye moto Kilimanjaro wanashtuka muda umeenda sana y?
 
Mdogo wangu umeongea point ya moto sana.
 
Wote wanastahili jeshi haliwezi kulala usingizi ikiwa idala husika inapwaya walitakiwa wawe mstali wa mbele km vitani angalia kwenye moto Kilimanjaro wanashtuka muda umeenda sana y?
Hakuna 'r' kwenye kamusi yako!?
 
...Na Ajali Ile ya Meli pale Mwanza Miaka Michache nyuma inaelekea haikufundisha lolote licha ya Matamshi Kadhaa ya Kisiasa yalitolewa wakati ule!!

Na hili litapita na litatokea lingine au wanakuwa wanapanga haya maovu maana sio akili ya kawaida men
 
Wote wanastahili jeshi haliwezi kulala usingizi ikiwa idala husika inapwaya walitakiwa wawe mstali wa mbele km vitani angalia kwenye moto Kilimanjaro wanashtuka muda umeenda sana y?
Ninachojiuliza ni hivi hawa wenye mamlaka hawajiulizi haya tunayojiuliza sisi wananchi kwa kawaida?
Nini kinasababisha kuwepo na uzembe wa wazi wazi namna hii?
Airport ipo karibu na Ziwa...haina rescue boat hata moja? Na gari la zimamoto je hawana?

Kwa ukaribu huo wa mita 100 ndege ilipoanguka tu kwanini hakuna hatua zozote za haraka zilizofanywa na uongozi wa Airport?

Kuna mambo ya msingi sana yanafanyika kimazoea.
Na haya majanga yatatumaliza sana kwa uzembe wetu maana hatujawahi kujifunza.
 
kuna mwamba anasikitika zile pisi mbili tu zilizokufa ajalini wala hawazi kitu kingine yani kimsingi tuna matatizommengi sana vichwani watu wanawaza vya maana mwingine anawaza utelezi tu, hatari sana hii
 
Ni jeshi la majini,lipo kwa ajili ya Vita vya majini siyo kuokoa ndege au mvuvi anayezama
Let's say wanapigana vita huko majini na wenzao wakazama hawatafanya juhudi zozote za kuwaokoa wenzao kwasababu wao sio waokoaji?
Kwamba jeshi zimamoto na uokoaji litakuwepo hapo standby kuwaokoa watakaozama.
 
Mafunzo ya jeshi yanafundisha ushirikiano na upendo miongoni mwa wanajeshi vitani,hakuna kumuacha mwenzio nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…