chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
nnayo mkuuHuna majukumu mpendwa
bora jfNapoteza muda mwingi jamiiforum nifanye Nini?
Wakuu jamii forum inanitoa stress Sana kwa jinsi Watu wanavyotoa michango yao
kivipiUmedelete, tayari ushaanza kujuta!
sawa mkuuKama umeshadelete tayari.Sasa jitahidi na kuzuia kuinstall tena. With time utaisahau kabisa.
okTafuta kazi ya kufanya mana hao unaoshinda kuwaangalia huko insta wapo kazini
hata kama mkuu ina addictionYaweza kuwa sababu ni huna majukumu na mipango.
Sawa wee endelea.hata kama mkuu ina addiction
okSawa wee endelea.