Ninapoteza muda mwingi Instagram, nifanyeje ili niiache?

Ninapoteza muda mwingi Instagram, nifanyeje ili niiache?

nitafute ntakupa mishe ambayo inabidi uweke alam ya kulala sio kuamka hutakumbuka sosho media yeyote ile kwa 24hrs
 
Wakuu salamu,

Instagram inanilia muda na kunipa stress bure kwa kuangalia maisha ya wengine. Nimeona ni delete account maana sina namna
Toroka huko uje karibu chama la wana CHAPUTA wala hutojutia muda wako dingii
 
Instagram na Twitter ni mitandao rahisi sana kutumia.

Mkuu usi-delete account ila fanya yafuatayo yanaweza kukusaidia.

Nenda kwenye watu uliowa-follow, unfollow watu wowote wasio na mchango wowote then follow vitu positive usisahau kufollow account za michezo.

Kila la kheri mkuu.
 
NJOO KWA YESU AKUOKOE NA DUNIA. KILICHOKUKAMATA NI DUNIA.

Wako maadui watatu wanaoyakabili maisha ya mwanadamu:
1. Shetani
2. Mwili
3. Dunia.

Yesu alikuja duniani kutuokoa na haya yote, mpe Yesu maisha yako upate uhuru wa kweli.


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Sijawai fikiria kufungua accnt ya insta..

Asilimia 6o ya bando langu nalitumia jf, Alhamdulillah na nafaidika nalo.

Whatsapp naanza kuikataa taratibu hasa haya mambo ya status...naweza nikaa sku mbili nisichungulie wala kupost status...
Hivi wasapu nako huwa mnapost status? Kweli ujanana maji ya moto.
 
Wenzio mitandaoni wako kikazi a.k.a WANAPIGA PESA. Wewe kazi yako kuwashangaa
 
Toka hapo nyumbani ukapange utasahau kuwa kuna vitu vinaitwa instagram
 
Back
Top Bottom