Ninapoteza muda mwingi Instagram, nifanyeje ili niiache?

Ninapoteza muda mwingi Instagram, nifanyeje ili niiache?

Wakuu salamu,

Instagram inanilia muda na kunipa stress bure kwa kuangalia maisha ya wengine. Nimeona ni delete account maana sina namna
Nilidelete Insta na Facebook Miaka mitatu iliyopita baada ya kuona napoteza muda mwingi pia...Mwanzo nilipata Shida lkn Sasa wala sikumbuki tena

Zimebaki Twitter, JF na Youtube nazilia taimingi
 
Wewe ni jinsia gani ? Kama ni ME jiangalie Sana unakoelekea sio
 
Wakuu salamu,

Instagram inanilia muda na kunipa stress bure kwa kuangalia maisha ya wengine. Nimeona ni delete account maana sina namna
Tafuta kazi ya kufanya mkuu hiyo instagram utaisahau mkuu.
 
Kama haikupi faida yoyote..fanya kui unstall tu
 
Niliifuta account yangu miaka 2 iliyopita na sijawahi kutamani kutengeneza ingine. Utasahau, just give it time.
 
tukana serikali! hii itakufanya uchukie mtandoa ya kijamiii[emoji3]
 
Sijawai fikiria kufungua accnt ya insta..

Asilimia 6o ya bando langu nalitumia jf, Alhamdulillah na nafaidika nalo.

Whatsapp naanza kuikataa taratibu hasa haya mambo ya status...naweza nikaa sku mbili nisichungulie wala kupost status...
 
Piga Punyere ule uchovu utakuondoa insta bila kutaka
 
kazi inahitajika hapo mkuu
kwa akili ya fasta unachoangalia ni kazi za wengine
 
Back
Top Bottom