Ninasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam

Ninasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam

Hakuna unayemsaidia hilo ni tangazo la biashara ndio kazi yako au kama vipi jisaidie mwenyewe.
 
hamjaeklewa kitu hapo. hii ni product ya mwalim wa biashara anaitwa Kelvin kibenje. kawaamsha sana wanafunzi wake....... shida ni nani atawaamini?
 
Back
Top Bottom