Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege zingine na badala yake angejikita kwenye usimamizi. Ingewezekana angeajiri wahindi watatu wakae juu kwenye management ya ATCL.
Nikashangaa naona sherehe za kupokea ndege zikiendelea.
Nilishangaa sana. Leo hii kwenye hospitali za umma, vituo vya afya na zahanati hata uende na bima dawa utazopata ni za grade 3 tu , grade 1 na grade 2 utaandikiwa kwenye kikatatasi ukanunue pharmacy.
Hospitali kumejaa mi Panadol, amoxicillin na mseto .
Kwenye elimu ndiko kuna maajabu yasiyoelezeka, mkafanye wenyewe survey huko kwenye shule za umma za karibu yenu. Hizi ndege ni za mabilioni mengi sana.
Serikali ikaifukuza fast jet ambayo ilikuwa reliable na cheaper kwa usafiri wa anga . Hiyo ATCL ukitaka kwenda Mwanza ghafla ghafla nauli zake utadhani unakwenda mbinguni