Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.! Humu cjui ka ntafanikiwa kweli. Kutalikiwa nshawaambia yalikuwa matatizo ya fedha tu. Sio kweli sikuweza kuitunza familia yangu bali mke nilokuwa nae ndo alikuwa hatosheki. Uwezo wa kununua chai na mandazi matano asubuhi, ugali dagaa mchana na wali nyanya chungu jioni ninao jamani. Hayo mengne ni tamaa tu.
sasa ngoja nikupandie PM nikuulize kile kitu
hehehe usinipakazie kila mtu akajua basi.Hahaha usikute ni wewe!
Hapo umenena mkuu. Ngoja nisubirie ka cku 5 hivi, nikiona miyeyusho, naibuka kivingine tena najitambulisha mi mtoto wa Bakhresa.
hehehe sasa umewaelewa, ukija kihivyo utaona watakavyokumiminia maPM, tena watajifanya hata kiswahili hawaelewi , watajifanya "eti u are looking for fiancee handsome boy?". wizi mtupu. all the best bana!
Hahaha Kloro is you talking from experience???Usikute we ndo kila siku unatafuta wachumba jamvini maana.........hehehe sasa umewaelewa, ukija kihivyo utaona watakavyokumiminia maPM, tena watajifanya hata kiswahili hawaelewi , watajifanya "eti u are looking for fiancee handsome boy?". wizi mtupu. all the best bana!
Khaaaaaaa!Hahaha Kloro is you talking from experience???Usikute we ndo kila siku unatafuta wachumba jamvini maana.........
sredi za kutafta mchumba zote ambazo nimeingilia kati wahusika wamefanikiwa. au nimwage data?acha kumpotosha mwenzio.
Khaaaaaaa!
ustake kuwatia uoga jamaa wakagoma kulembea ma CV bana, faifu star kama mimi nitalembea sredi ya kutafta mchumba JF? . ntake radhi kabla sijaamua kujitoa JF.Unakubali ehhhhh??Dayyyyum!Itakua umenichora sana nnavyobadilisha badilisha CV nikituma maombi!
sredi za kutafta mchumba zote ambazo nimeingilia kati wahusika wamefanikiwa. au nimwage data?
Wewe ndo wote wanaotafuta wachumba...no wonder miandiko yao hua inafanana!ustake kuwatia uoga jamaa wakagoma kulembea ma CV bana, faifu star kama mimi nitalembea sredi ya kutafta mchumba JF? . ntake radhi kabla sijaamua kujitoa JF.
Yaani unamsakazia mtakatifu klorokwini? khaaaa! ukiona mpwapwa wamekususia, hawaongei na wewe ujue malaika wamekasirishwa na post yako. omba razi kabla hawajakasirika zaidi. Nina mashtaka yako. Kila anayetafuta mchumba we unampm bila kujali ke wala me.
Change kloro, change!
Unakusudia kusema mimi ndio Jaluo_nyeupe? khaaaa! unachafua CV lizzy!Wewe ndo wote wanaotafuta wachumba...no wonder miandiko yao hua inafanana!
Tena hata sauti zinafanana...sijui kwanini sikuunganisha vidoti mapema!!Unakusudia kusema mimi ndio Jaluo_nyeupe? khaaaa! unachafua CV lizzy!
hivi kumbe uliwahi kumpigia sim jaluo_nyeupe?Tena hata sauti zinafanana...sijui kwanini sikuunganisha vidoti mapema!!
Yaani unamsakazia mtakatifu klorokwini? khaaaa! ukiona mpwapwa wamekususia, hawaongei na wewe ujue malaika wamekasirishwa na post yako. omba razi kabla hawajakasirika zaidi
kigogo huyu member wa JF? una utani na kigogo? khaaa!nilitaka uje utoe seminar huku mpwapwa ila nimehairisha. Usije ukatuharibia hivi vibinti vya kigogo.
hivi kumbe uliwahi kumpigia sim jaluo_nyeupe?