Ninatafta mke

Ninatafta mke

Huwezi kuishi na mwanamke yeyote wewe,labda mwanaume mwenzie,kwani inaonekana wewe hutafuti mchumba bali una tafuta mtu wa kukutunza,ndio sababu uliikimbia familia!!
 
Dah.! Humu cjui ka ntafanikiwa kweli. Kutalikiwa nshawaambia yalikuwa matatizo ya fedha tu. Sio kweli sikuweza kuitunza familia yangu bali mke nilokuwa nae ndo alikuwa hatosheki. Uwezo wa kununua chai na mandazi matano asubuhi, ugali dagaa mchana na wali nyanya chungu jioni ninao jamani. Hayo mengne ni tamaa tu.

bora umeclarify situation nilidhani pengine umeshindwa kabisaa kuprovide for your family,usijali omba kwa mungu akupe wa kufanana naye....
 
sasa ngoja nikupandie PM nikuulize kile kitu

preta naona uko interested,usijiume ume mchumba ndio huyooooooo.....anaonekana ni mkweli,jambo linalowashinda wanaume wengi
 
Hapo umenena mkuu. Ngoja nisubirie ka cku 5 hivi, nikiona miyeyusho, naibuka kivingine tena najitambulisha mi mtoto wa Bakhresa.

hehehe sasa umewaelewa, ukija kihivyo utaona watakavyokumiminia maPM, tena watajifanya hata kiswahili hawaelewi , watajifanya "eti u are looking for fiancee handsome boy?". wizi mtupu. all the best bana!
 
acha kumpotosha mwenzio.
 
hehehe sasa umewaelewa, ukija kihivyo utaona watakavyokumiminia maPM, tena watajifanya hata kiswahili hawaelewi , watajifanya "eti u are looking for fiancee handsome boy?". wizi mtupu. all the best bana!
Hahaha Kloro is you talking from experience???Usikute we ndo kila siku unatafuta wachumba jamvini maana.........
 
Unakubali ehhhhh??Dayyyyum!Itakua umenichora sana nnavyobadilisha badilisha CV nikituma maombi!
ustake kuwatia uoga jamaa wakagoma kulembea ma CV bana, faifu star kama mimi nitalembea sredi ya kutafta mchumba JF? . ntake radhi kabla sijaamua kujitoa JF.
 
ustake kuwatia uoga jamaa wakagoma kulembea ma CV bana, faifu star kama mimi nitalembea sredi ya kutafta mchumba JF? . ntake radhi kabla sijaamua kujitoa JF.
Wewe ndo wote wanaotafuta wachumba...no wonder miandiko yao hua inafanana!
 
. Nina mashtaka yako. Kila anayetafuta mchumba we unampm bila kujali ke wala me.
Change kloro, change!
Yaani unamsakazia mtakatifu klorokwini? khaaaa! ukiona mpwapwa wamekususia, hawaongei na wewe ujue malaika wamekasirishwa na post yako. omba razi kabla hawajakasirika zaidi
 
Yaani unamsakazia mtakatifu klorokwini? khaaaa! ukiona mpwapwa wamekususia, hawaongei na wewe ujue malaika wamekasirishwa na post yako. omba razi kabla hawajakasirika zaidi

nilitaka uje utoe seminar huku mpwapwa ila nimehairisha. Usije ukatuharibia hivi vibinti vya kigogo.
 
Back
Top Bottom