Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe anajishughulisha na shughuli yoyote isipokua biashara za bar, na madanguro ya ngono, awe mkristo mcha Mungu, mengine yaliyobaki tutakubaliana pindi tukukutana. Karibuni mabinti warembo wa Iringa na maeneo ya jirani.
Mimi ni Mkristo, kabila mchaga, umri miaka 30, nimeajiriwa Iringa, na mwili wa kawaida sio mnene na sio mwembamba sana.
Hope Mwenyezi Mungu utanifanikisha kwenye hili.
Meja soko.
Mimi ni Mkristo, kabila mchaga, umri miaka 30, nimeajiriwa Iringa, na mwili wa kawaida sio mnene na sio mwembamba sana.
Hope Mwenyezi Mungu utanifanikisha kwenye hili.
Meja soko.