Ninatafuta mume

Wanaume tuliopo jf wengi wetu ni waongo waongo. Utalia machozi ya damu
 
Yaani bado unaweka vigezo kibao wakati umri wako ushaelekea magharibi?kweli wewe ni fungu la kukosa.
 
Mwanaume wa 37-45 ana familia na majukumu tayari. Sidhani kama kuna aliye single. Kama wapo ni 1 tu kati ya 1000

Sina maana kukukatisha tamaa, ila jiandae kuwa mchepuko
 
well said.. japo binti unaweza kumpata lakini kama hauko sawa usalama pia wamekupata
Nani kakwambia kwamba usalama ni wauji wa watu? Na ni kwanini uwaogope usalama kama sio mwalifu wa kimtandao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .wakiamua kukupata watakupata tu kwani hapa sio kichaka cha kufanyia uhalifu
 
Ww mwanaume awe wa kukupa burudani si wa digriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…