Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Mmmh! Ngoja nijitafakari kama nina sifa zote kabla sija apply.
 
Unasema una mwili unaovutia kimapenzi halafu hutaki hata Mzee wa kupambania aje pm?
 
Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
Wewe kweli gubegube kubwa.

Unajuaje kama mume alimtesa dada wa watu akaamua kuondoka akaishi peke yake? Unafikiri kuna mwanamke anayependa kuachana na mume wake?

Halafu kwanini iwe yeye ndio kaachwa/kukimbiwa?
Hata sisi wanawake tunaacha pia.
 
Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi pia...
Naomba nikujulishe kwamba nimemuacha Mimi. Na kwa taarifa fupi ni kwamba tulioana. Tena anatamani sana turudiane Mimi nimechukua high way...
Dear sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso kwa kuwa eti ana watoto wawili.
Me siko hivyo. Siku zote Amani na furaha yangu kwanza.
Alafu siku hizi masters ni kama degree tu.
 
We eb tuliza via vya uzazi! Hasira zako zisizo na sababu usipeleke kwa kila mtu... Nareply navotaka mm bila kumvunjia mtu heshima yake wala kumdhalilisha ko tusipangiane kinyesi mkubwa wewe!
Enhee sasa mbona ni wewe mwenye hasira na matusi ya zamani?

Mafuta kidogo mlipuko mkubwa! Mwenye stress hapa umeshamuona. Mwenzio anatafuta mwenza we unamuhadithia story zako ya kuwa wewe ni kataa ndoa, are you in denial?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…