- Thread starter
- #61
Mpisheni shetani wakuu.Wewe hapo changamoto yako ilikua ni nn? Mtoa mada angelalamika ningeona labda nimekosea!
Labda mmepishana tu vitu vidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpisheni shetani wakuu.Wewe hapo changamoto yako ilikua ni nn? Mtoa mada angelalamika ningeona labda nimekosea!
[emoji2][emoji2][emoji2]Wanangu sisi wa standard seven hii haituhusu
Vitoto vilishaongezeka, vinakula chakula kama mchwa; mlo mmoja wa mchana debe mbili za mahindi zinakata; hapa nipo njiani nawaza kesho nitawalisha nini.🤣🤣🤣Mwangu siku hz umepunguza heka heka zle story zako sizioni au unalima
Stick to the topic on board! Spare that story for another day....
However, There is no where I said it was me or any other person related to me.
Otherwise thanks for contributing!
Then fine we can talk and agree,next step is critical oneUmeelewa vibaya.
Sikubagua ni kama nilisema waje wote Ila mwenye elimu hyo atapewa kipaumbele.
Nilimaanisha kama nikimpata mwenye elimu hiyo nitafurahi zaidi.. Lakini other criterion remain constant.
Japo pia kupanga ni kuchagua. Kila mtu kichwani kwake ana ideal type ya kitu flani linapokuja swala LA chaguzi.
Na wewe umejuaje kama anayosema sio kweli ikiwa kibebi hajasema sababu ya wao kuachana?Wewe kweli gubegube kubwa.
Unajuaje kama mume alimtesa dada wa watu akaamua kuondoka akaishi peke yake? Unafikiri kuna mwanamke anayependa kuachana na mume wake?
Halafu kwanini iwe yeye ndio kaachwa/kukimbiwa?
Hata sisi wanawake tunaacha pia.
Kigezo cha elimu kitakupiga chiniSijui nijilipueee
Ohh! Asante.Sijakubagua dear
Kama una sifa karibu
Maana mbali na maisha mengine huwa ninalima pia.. Tutapeana mawazo zaidi namna gani tufanye vizuri upande ambao sio wa taaluma.
Kwa hii hulka ni bora ubaki single tu!Stick to the topic on board! Spare that story for another day....
However, There is no where I said it was me or any other person related to me.
Otherwise thanks for contributing!
[emoji2][emoji2][emoji2]Huku kumejaa kataa ndoa umezalishwa, now umekuwa single mother unakuja kutafuta huruma kwa hawa wahuni wa jamii forum, nakwambia hapa utatapeliwa papuchi na hela juu we jichanganye tuu.
Anyway nina degree ninatafuta mke wa kuoa naweza tuma maombi?
nb.
Kipato changu cha kawaida kinanitosha mwenyewe.
Tumezipokea sisi bosses.[emoji2][emoji2][emoji2]
Jf wote ni angels
Hongereni bosses
Asante dear brotherOhh! Asante.
Maisha mpendwa wangu hayawahi kuwa na mwelekeo mmoja wakati wote.
unaweza ukadhania kwamba aina hii au ile ya mtu , au mtindo huu ni bora kama ungekuwa sehemu yangu ila mara nyingi inakuwa kinyume sana.
Maisha hayajengwi na kiwango cha elimu au laaluma ya ngazi fulani bali akili na utashi wa mtu ambao kila mmoja wetu anao wa namna yake kulingana na mazingira aliyopo wakati huo.
Naomba kushauri kwako kupitia bandiko lako hili kwamba usiweke tarajio kwenye vionjo vyako kwamba mwenye digrii, master au Phd ndie anaweza kuwa bora kwangu, hio toa.
Bora kwako anaweza kuwa yoyote ambaye atakuwa sababu ya furaha yako hata kama halingani nawewe kwenye ngazi za kielimu na taaluma.
Hakuna kinginecho tunachokitafuta sisi binadamu na pengine viumbe vinginevyo vyote isipokuwa furaha, yoyote anayekuja kwako akikuachia furaha mpokee bila kujali ana kiwango gani cha kipimo cha elimu au taaluma.
Yote ya yote binafsi nahisi aina ya hisia ulizo nazo, na matarajio uliyo nayo kwa vile wakati mmoja nami nilikua hivyo au nipo hivyo kwa sasa, ndio maana nakupa mojo na kukutakia kufanikiwa, hata kama sio hapa ila kufanikiwa kikamilifu, usijali sana comment za hapa , nadhani sio mgeni, wingi wa comment hata kama zipo hazi ndio zinafanya uzi unawafikia wengi na katika hao wengi huwenda mmoja wapo akawa ndie mlengwa, yote mema kwako my friend.