client
JF-Expert Member
- Dec 13, 2015
- 667
- 870
Heshimu mawazo ya mtu,mbona unam-attack,heshimu mwanaume hiyo ndio hulka njema ya mwanamke,ukimwona mwanamke anamtukana mwanaume hivi ujue ni bomu,kwa akili zako Hauna Cha kumshauri huyu,we ni feminist mkubwaWewe kweli gubegube kubwa.
Unajuaje kama mume alimtesa dada wa watu akaamua kuondoka akaishi peke yake? Unafikiri kuna mwanamke anayependa kuachana na mume wake?
Halafu kwanini iwe yeye ndio kaachwa/kukimbiwa?
Hata sisi wanawake tunaacha pia.