Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwani lazima niaply kwenye ndoaš¤mbona adela mtoto wa bi mwanja namfanyiaga na sijafunga nae ndoa?Hayo mambo ungekuwa nayo kweli usingeendelea kukataa ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima niaply kwenye ndoaš¤mbona adela mtoto wa bi mwanja namfanyiaga na sijafunga nae ndoa?Hayo mambo ungekuwa nayo kweli usingeendelea kukataa ndoa.
Why are you like thatšApia? Na bado uko singo
Teh!
Sasa kiherehere cha kujieleza na huna mpango huo unakitoa wapi?Aiseee ningekusitiri dada sema ndo hvo mm ni pro KATAA NDOA ningekuonesha mambo makuu usiyoyajua
Thanks dear.Nimejiskia Amani kusikia haya kutoka kwa mwanamke mwenzangu.
Umenibariki dear [emoji177]
Uko so matured
Bless [emoji120]
Mmmh! Ngoja nijitafakari kama nina sifa zote kabla sija apply.Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Unasema una mwili unaovutia kimapenzi halafu hutaki hata Mzee wa kupambania aje pm?Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Adela hajayaelewa bado, mwanamke akiyaelewa atakungāangāania hadi umuoe.Kwani lazima niaply kwenye ndoaš¤mbona adela mtoto wa bi mwanja namfanyiaga na sijafunga nae ndoa?
We eb tuliza via vya uzazi! Hasira zako zisizo na sababu usipeleke kwa kila mtu... Nareply navotaka mm bila kumvunjia mtu heshima yake wala kumdhalilisha ko tusipangiane kinyesi mkubwa wewe!Sasa kiherehere cha kujieleza na huna mpango huo unakitoa wapi?
Ni kama vile uko in denial, do you?
Wewe kweli gubegube kubwa.Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
AmenThanks dear.
Mimi nimebahatika kumpata mwema hapahapa JF, nakuhakikishia wapo na utampata ukitulia.
Donāt rush, just take your time.
Vizuri vinakuja kwa kusubiri, best of luck.
Mapenzi hayafundishiki Mkuu.Mungu akuongoze, na ukimpata mpende kwa dhati na kumheshimu.
Yaan atoke matevez mpaka dar kwa nauli yake zaidi ya mara tatu mpaka naona aibu namrudishia afu useme hajaelewa šAdela hajayaelewa bado, mwanamke akiyaelewa atakungāangāania hadi umuoe.
Mi ndio nakwambia sasa, ongeza halafu utakuja kuniambia hapa.Yaan atoke matevez mpaka dar kwa nauli yake zaidi ya mara tatu mpaka naona aibu namrudishia afu useme hajaelewa š
Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi pia...Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
Enhee sasa mbona ni wewe mwenye hasira na matusi ya zamani?We eb tuliza via vya uzazi! Hasira zako zisizo na sababu usipeleke kwa kila mtu... Nareply navotaka mm bila kumvunjia mtu heshima yake wala kumdhalilisha ko tusipangiane kinyesi mkubwa wewe!