Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
Not really
Inner story Mimi nimeacha sijaachwa. Hata yeye anatamani turudiane Ila nikipita ni me pita. Ilikuwa ndoa na sio uhuni.
Anyways u have the right to voice up your opinions.
 
dronedrake kuna chimbo huku mwamba. Acha kupiga nyeto kula chuma hiki
 
Madam Kama tunaweza kuongea kuhusu business?
This is out of topic.
 
Inaonekana unaoa elimu na siutu then utapata mapapa ya Richmond hapa hapakufai
 
Enhee sasa mbona ni wewe mwenye hasira na matusi ya zamani?

Mafuta kidogo mlipuko mkubwa! Mwenye stress hapa umeshamuona. Mwenzio anatafuta mwenza we unamuhadithia story zako ya kuwa wewe ni kataa ndoa, are you in denial?
Wewe hapo changamoto yako ilikua ni nn? Mtoa mada angelalamika ningeona labda nimekosea!
 
Kuna dogo langu anapenda sana mashangazi, vp nikuunge nae.

Ni mstaarabu sana yule dogo, huwa ananambia anawapigaga deki kama mzabzab
 
Not really
Inner story Mimi nimeacha sijaachwa. Hata yeye anatamani turudiane Ila nikipita ni me pita. Ilikuwa ndoa na sio uhuni.
Anyways u have the right to voice up your opinions.
Hapo bold, hayo maneno yana vielement vya ujivuni. Kuachwa, kuacha au kuachana...end of it mmeachana tu, liwe kosa lake au lako, mmeachana na kusambaratisha familia. Madogo ndio wanapata shida huku nyie mkijivunia kuacha.

Back to the topic, ningejua ID ya zamani ningekuja tuyajenge.
 
Sisi wa darasa la saba tumeachwa mbali sana na dunia, kila sehemu unagonga mwamba !
My sister kibebi yote mema kwako, kawaida ya ulimwengu hukupa kile anachokitaka maadamu tu unasimamia msimamo wako.
 
Inaonekana unaoa elimu na siutu then utapata mapapa ya Richmond hapa hapakufai
Umeelewa vibaya.
Sikubagua ni kama nilisema waje wote Ila mwenye elimu hyo atapewa kipaumbele.
Nilimaanisha kama nikimpata mwenye elimu hiyo nitafurahi zaidi.. Lakini other criterion remain constant.
Japo pia kupanga ni kuchagua. Kila mtu kichwani kwake ana ideal type ya kitu flani linapokuja swala LA chaguzi.
 
Sisi wa darasa la saba tumeachwa mbali sana na dunia, kila sehemu unagonga mwamba !
My sister kibebi yote mema kwako, kawaida ya ulimwengu hukupa kile anachokitaka maadamu tu unasimamia msimamo wako.
Sijakubagua dear
Kama una sifa karibu
Maana mbali na maisha mengine huwa ninalima pia.. Tutapeana mawazo zaidi namna gani tufanye vizuri upande ambao sio wa taaluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…