Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kunijaza upepo ww! Huyu nikimwambia ndoa atatoka speed vifungo vya shati atafungia segeraMi ndio nakwambia sasa, ongeza halafu utakuja kuniambia hapa.
Not reallyHuyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
dronedrake kuna chimbo huku mwamba. Acha kupiga nyeto kula chuma hikiHello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Madam Kama tunaweza kuongea kuhusu business?Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi pia...
Naomba nikujulishe kwamba nimemuacha Mimi. Na kwa taarifa fupi ni kwamba tulioana. Tena anatamani sana turudiane Mimi nimechukua high way...
Dear sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso kwa kuwa eti ana watoto wawili.
Me siko hivyo. Siku zote Amani na furaha yangu kwanza.
Alafu siku hizi masters ni kama degree tu.
Kwa hili jibu unaonekana una gubu sana. Yaan unasifia umeacha sio kuachwa?Not really
Inner story Mimi nimeacha sijaachwa. Hata yeye anatamani turudiane Ila nikipita ni me pita. Ilikuwa ndoa na sio uhuni.
Anyways u have the right to voice up your opinions.
Inaonekana unaoa elimu na siutu then utapata mapapa ya Richmond hapa hapakufaiHello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Wewe hapo changamoto yako ilikua ni nn? Mtoa mada angelalamika ningeona labda nimekosea!Enhee sasa mbona ni wewe mwenye hasira na matusi ya zamani?
Mafuta kidogo mlipuko mkubwa! Mwenye stress hapa umeshamuona. Mwenzio anatafuta mwenza we unamuhadithia story zako ya kuwa wewe ni kataa ndoa, are you in denial?
Kuna dogo langu anapenda sana mashangazi, vp nikuunge nae.Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Asante dearKwa hili jibu unaonekana una gubu sana. Yaan unasifia umeacha sio kuachwa?
Hapo bold, hayo maneno yana vielement vya ujivuni. Kuachwa, kuacha au kuachana...end of it mmeachana tu, liwe kosa lake au lako, mmeachana na kusambaratisha familia. Madogo ndio wanapata shida huku nyie mkijivunia kuacha.Not really
Inner story Mimi nimeacha sijaachwa. Hata yeye anatamani turudiane Ila nikipita ni me pita. Ilikuwa ndoa na sio uhuni.
Anyways u have the right to voice up your opinions.
🤣🤣🤣Mwangu siku hz umepunguza heka heka zle story zako sizioni au unalimaUkikosa kabisa, uwe unakuja mara moja moja huku ngorongoro tuwe tunashangaa tumbili
Umeelewa vibaya.Inaonekana unaoa elimu na siutu then utapata mapapa ya Richmond hapa hapakufai
Sijakubagua dearSisi wa darasa la saba tumeachwa mbali sana na dunia, kila sehemu unagonga mwamba !
My sister kibebi yote mema kwako, kawaida ya ulimwengu hukupa kile anachokitaka maadamu tu unasimamia msimamo wako.