Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Daah aisee mpira umewekwa kwenye sita huo sio maguu 12 ya mtu mzima sema kigezo cha degree sio mchezo hivyo vingine vinawezekana ila Degree ya Chuo hapo watu wengi wanaferi Sisteri..
 
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.

Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).

Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).

Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.

Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.

Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.

Asanteni waungwana.
Hello umeshapata au bado
 
Hizi nyuzi zimekuwa nyingi mno kama kweli mko serious na mnachokiandika basi Kuna shida kubwa kwenye jamii yetu
 
Naona unatafuta wanaume Mimi na Moja wenye Tania tofauti. Endelea kupambana.
 
Hizi nyuzi zimekuwa nyingi mno kama kweli mko serious na mnachokiandika basi Kuna shida kubwa kwenye jamii yetu
kuna wengine robo tatu ya kwaya nzima walikuja kuimba kanisani kwetu hawakuwakuwa na ndoa. Ilibidi wajibigie debe huku wakisaidiwa na mchungaji wao kuwa majimbo yako wazi, wanahitaji wa kuyapata. Nilishangaa kuona wanawake wakijitangaza hadharani kuwa wanahitaji waume bila aibu mbele ya kadamnasi ya waumini
 
Ni shida mkuu
 
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.

Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).

Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).

Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.

Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.

Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.

Asanteni waungwana.
Dr na prof, duu sawa na hongera
 
umeweka sharti la degree hutapata mume haraka. Sasa ukianza kuweka masharti na vigezo vigumu itabidi na wewe tukuchunguze kama unafaa kuwa mke bora. Kwanza nini kilikufanya uachane na mumeo?
Huyu atakuwa ana kelele sana kumbuka wanaume hawapendi kelele
 
Back
Top Bottom