BabaPrince
Senior Member
- Jan 10, 2016
- 126
- 47
Sawa kamandaSubri wanakuja mkuu,usijali wapo wengi humu.
Atakutumia nauli tuu uingie dodoma chap kwa harakaAiyaaa ingekua kahama ungenipata .... mwenyewe niko mpweke kinomanoma
Hakijaharibika kitu,na mimi mpweke mwenzio nipo Kahama pia.Aiyaaa ingekua kahama ungenipata .... mwenyewe niko mpweke kinomanoma
Tuonane basiHakijaharibika kitu,na mimi mpweke mwenzio nipo Kahama pia.
Asante sana,nilikua nanogesha tu thd mkuu,Tuonane basi
Hahahah umepata upweke wa ghafla mkuu, usijali bana, niombee wajae tuWakikuzidia huko pm basi unipunguzie na mimi mkuu! Sijui ni kwa nini! Ila baada tu ya kusoma huu uzi wako, na mimi upweke umenianza ghafla! 😫
Nipo lindo maeneo ya huku Mtumba!
Na ninafahamu upo huko😂Asante sana,nilikua nanogesha tu thd mkuu,
Nipo kwa Malkia nakomaa na box,
Have a good day buddy.
Jamanii, nipe namba tu huwezi jua ya Mungu mengi ujueAiyaaa ingekua kahama ungenipata .... mwenyewe niko mpweke kinomanoma
Nakupm chapppJamanii, nipe namba tu huwezi jua ya Mungu mengi ujue
Nakupm chappp
Pamoja sanaNa ninafahamu upo huko😂
Na kwako pia mpendwa
Hehehehehe lini umeniomba?Mimi nikikuomba unaninyima, ila wengine unawapa! Sawa. Au unanibagua kwa sababu ninamkaribia Mrema kwa umri siyo! Poa tu.
Karibu sana nakusubiriNakupm chappp