Ibrahim-Pasha
Member
- Dec 16, 2018
- 47
- 86
Nenda pale mitaa ya Chako ni Chako wamejaa kila sampuli...Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka,
Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada aliyeko Dodoma ani PM fasta tufahamiane zaidi pamoja na kutembeleana zaidi. Nimewasilisha