Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

Kuna jamaa Instagram anaitwa braga_last_one yule ni fundi hatari Kwenye kuchora picha.
 
Nenda Nafasi Art pale Mikocheni jirani na Hekima Garden au Mwenge Carvings market - wako wengi
 
Hii picha inanishawishi kutenda dhambi,lkn ishindwe kwa Jina la Yesu Kristo.


Yesu Mwenyewe alishindwa kujiokoa msalabani kwa jina lake na akalia kwa sauti "Eloi Eloi lamasabachtan" akiomba msaada kutoka kwa Mungu, iweje leo hayupo duniani na aweze kukuokoa wewe na majaribu???!!, pathetic 😱
 
Yesu Mwenyewe alishindwa kujiokoa msalabani kwa jina lake na akalia kwa sauti "Eloi Eloi lamasabachtan" akiomba msaada kutoka kwa Mungu, iweje leo hayupo duniani na aweze kukuokoa wewe na majaribu???!!, pathetic [emoji33]
Ukiacha kuwa Ant Christ, utaelewa.
 
Ukiacha kuwa Ant Christ, utaelewa.


Kwani nimeandika uongo??-- au Yesu hakulia msalabani kwa uchungu akimlilia Mungu kuomba msaada aliposema; Ewe Mungu ewe Mungu mbona unaniacha" ??!!.

Au kusema ukweli ndio "Anti christicism"??!!----- bora niwe hivyo na nife na ukweli wangu nipokelewe mbinguni kuliko kuficha ukweli na kuamini mambo dogmatically niwe mfuasi wa shetani.
 
Kwani nimeandika uongo??-- au Yesu hakulia msalabani kwa uchungu akimlilia Mungu kuomba msaada aliposema; Ewe Mungu ewe Mungu mbona unaniacha" ??!!.

Au kusema ukweli ndio "Anti christicism"??!!----- bora niwe hivyo na nife na ukweli wangu nipokelewe mbinguni kuliko kuficha ukweli na kuamini mambo dogmatically niwe mfuasi wa shetani.
Ungekuwa mfuasi halisi wa YESU Kristo ungeelewa kuhusu jambo hilo.
 
Mimi ni msanii mchoraji tena wa contemporary.

Yupo kijana hapa town maeneo jirani na Dar Free Market anaitwa Mwenda anakutolea hyper realistic kama hiyo na ziada. Namba yake njoo inbobo

Hiyo rangi hapo zilizotumika ni oil colors

Nimemkumbuka sana mshikaji anakipaji cha kipekee hiv Bado yupo pale Gaba
 
Njoo Zanzibar wapo wengi sana tu , kuanzia forodhani, ukenda beach za shamba km Nungwi, kiwengwa wapo
Nitafanya hivyo ndugu. Picha nzuri ikipata frame nzuri inakufanya usahau mchoko wa kazi ukirudi nyumbani.
 
Jaribu morogoro store zamani ilipokuwepo Maisha Club...
 
Ungekuwa mfuasi halisi wa YESU Kristo ungeelewa kuhusu jambo hilo.


Wapi imeandikwa au amesema yeye mwenyewe kwamba lazima mtu awe mfuasi wake "HALISI" ndipo amuelewe??!! --- kumbuka uzushi ni Uongo na uongo ni dhambi na dhambi yatoka kwa shetani.
 
Soma Biblia yote utaelewa
Soma Biblia yote utaelewa


Biblia zipo nyingi ni ipi kati ya hizi:--

1--- The king james version.
2---The Bible.∆
3---New living translation .
4---English stangard version .
5---New international version .
6---New King james version.
7---New American standard version
8---Tyndale Bible.
9---American standard version .
10---New revised standard version.
12---Geneva Bible.
13---Jerusalem Bible .
14---Bible.★
15---New American Bible.
16---New English Bible.
17---Bishop's Bible .
18---Douay Rheims Bible .
19---Revised standard version Catholic .
20---Croverdale Bible.
21---Amplified Bible .
22---Common English Bible .
23---The revised English Bible .
24---English Bible.
25---Third millennium Bible .
26---Contemporary English version .

👆🏻Ni ipi hapo ambayo ipo Authentic nikaisome??!!
 
Back
Top Bottom