Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Tuna mtanzania mwenzetu anachora picha kama hizo na kuchonga pia... Anaitwa Masanjaart, mcheki Insta kwa jina ilo utaona kazi zake, ukitaka namba zake utasema pia.
Nachora 1pc @250,000 TZSGhana na Nigeria wanachora sana hizi picha.
Hii picha inanishawishi kutenda dhambi,lkn ishindwe kwa Jina la Yesu Kristo.
Ukiacha kuwa Ant Christ, utaelewa.Yesu Mwenyewe alishindwa kujiokoa msalabani kwa jina lake na akalia kwa sauti "Eloi Eloi lamasabachtan" akiomba msaada kutoka kwa Mungu, iweje leo hayupo duniani na aweze kukuokoa wewe na majaribu???!!, pathetic [emoji33]
Ukiacha kuwa Ant Christ, utaelewa.
Ungekuwa mfuasi halisi wa YESU Kristo ungeelewa kuhusu jambo hilo.Kwani nimeandika uongo??-- au Yesu hakulia msalabani kwa uchungu akimlilia Mungu kuomba msaada aliposema; Ewe Mungu ewe Mungu mbona unaniacha" ??!!.
Au kusema ukweli ndio "Anti christicism"??!!----- bora niwe hivyo na nife na ukweli wangu nipokelewe mbinguni kuliko kuficha ukweli na kuamini mambo dogmatically niwe mfuasi wa shetani.
Mimi ni msanii mchoraji tena wa contemporary.
Yupo kijana hapa town maeneo jirani na Dar Free Market anaitwa Mwenda anakutolea hyper realistic kama hiyo na ziada. Namba yake njoo inbobo
Hiyo rangi hapo zilizotumika ni oil colors
Nenda ista mtafute @mariamrabii5 yuko vizuri Sana kwenye hizo,
Njoo Zanzibar wapo wengi sana tu , kuanzia forodhani, ukenda beach za shamba km Nungwi, kiwengwa wapo
Ungekuwa mfuasi halisi wa YESU Kristo ungeelewa kuhusu jambo hilo.
BibliaWapi imeandikwa au amesema yeye mwenyewe kwamba lazima mtu awe mfuasi wake "HALISI" ndipo amuelewe??!! --- kumbuka uzushi ni Uongo na uongo ni dhambi na dhambi yatoka kwa shetani.
Soma Biblia yote utaelewaWeka andiko hapa tulione.
Soma Biblia yote utaelewa
Soma Biblia yote utaelewa