Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #141
Ni Kwa miaka 9Sijaelewa.
Mkopo 50M
Riba 16% = 8M
Mkopo + Riba = 58M
Sasa hiyo 90M rejesho inatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kwa miaka 9Sijaelewa.
Mkopo 50M
Riba 16% = 8M
Mkopo + Riba = 58M
Sasa hiyo 90M rejesho inatoka wapi?
Ahsante madamChukua tu,ya kesho huyajui🙏
Lengo langu haswa Mkuu ni kupeleka UTTPeleka UTT au nunua bond za serikali wanacompound monthly
Mnadanganywa makapuku, kina MO, Azam wote hukopa kwa ribaRiba haraam ndio maana wengi huwa hawafaidiki nazo hizo hela
Sasa hapo miaka tisa umefunga nao ndoa bank ya nini
16% ni kubwa ila kwakuwa una lipa kwa muda mrefu ni sawa.Habar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Idea nzuri, fanya tu hivyo, After 9 years una 200M unaweza kuwa unapata gawio la 2M monthlyLengo langu haswa Mkuu ni kupeleka UTT
Kwenye maisha ya biashara usiangalie wao wanapata nin? Check wew unapata nn?16% ni kubwa ila kwakuwa una lipa kwa muda mrefu ni sawa.
Wao wananunua BOT BOND , wanapata faida ya milioni 125
sawa ila its too much, halmashauri na mid size microfinance wana riba nzuri tu.Kwenye maisha ya biashara usiangalie wao wanapata nin? Check wew unapata nn?
Asipobeba huo mkopo ana uwezo wa kupata hio 50M kwingine?
insuranceikitokea umekufa utalipaje deni
Sasa mzee aende halmashauri kwenye mambo ya vikundi tena ?sawa ila its too much, halmashauri na mid size microfinance wana riba nzuri tu.
Equity Bank wanacheza na 11% tena mnakaa mezani.Sasa mzee aende halmashauri kwenye mambo ya vikundi tena ?
Halafu nionyeshe taasisi yeyote ya fedha au benk wanakotoa riba nzuri zaidi ya hio ya 16% kwa mkopo wa miaka 9 hapa Tz,
Mimi bado sijaelewa hiyo riba ya 16% inapatikana vipi.Sasa mzee aende halmashauri kwenye mambo ya vikundi tena ?
Halafu nionyeshe taasisi yeyote ya fedha au benk wanakotoa riba nzuri zaidi ya hio ya 16% kwa mkopo wa miaka 9 hapa Tz,
Chukuwa mkopo wa Muda mfupi hauna riba kubwa angalau miaka 2 had 3 kamilishaHabar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Nieleweshe sababu bado sijaelewa.Ni Kwa miaka 9
Dadeq, hii sikuijua, kwa wafanyakazi au wafanyabiasha ?Equity Bank wanacheza na 11% tena mnakaa mezani.
Eddo nakupongeza na nlitaka niache watu wanaofikiri wanajua wabaki na ujinga wao.Mimi bado sijaelewa hiyo riba ya 16% inapatikana vipi.
Kama mkopo ni 50M, inakuwaje interest ya 40M kuwa 16%?
Nielewesheni jamani
Wote wote, ukiwa mfanyabiashara mkubwa mnakaa mezani unaweza shushiwa to 9%.Dadeq, hii sikuijua, kwa wafanyakazi au wafanyabiasha ?
Wew bana,Mimi bado sijaelewa hiyo riba ya 16% inapatikana vipi.
Kama mkopo ni 50M, inakuwaje interest ya 40M kuwa 16%?
Nielewesheni jamani
Wacha nipate acc yaoWote wote, ukiwa mfanyabiashara mkubwa mnakaa mezani unaweza shushiwa to 9%.