Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #281
UTTMutual fund ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTTMutual fund ipi?
Usichukue mikopo ya muda mrefu chukua ya miaka miwili then ikiisha. Ukope tenaHabari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Kuna nini hukoPambaneni na hali zenu. Sisi hapa Nungwi tunaokota Dollar kama mchanga
Afanye nini, maana ana hasira kwa ujinga wakeHahaaaaa
Kwamba jamaa baada ya benki kuuza nyumba yake kawa jambaka
Haya ni mfano wa mawazo au maoni ya watu wenye roho mbaya,roho ambazo sio za kibiashara roho za kimasikini(sikushambulii wewe mkuu samahani ila nashambulia mawazo uliyoyatoa)Usichukue mikopo ya muda mrefu chukua ya miaka miwili then ikiisha. Ukope tena
Sitaweka bond fund Mkuu nitaweka liquid fund na jikimu....narely kwenye compounding effect nitakaa pesa zikae zijizalishe Kwa miaka 30
Kwa hiyo akishakwepa kuinufaisha benki yeye anapata faida gani mkuu 😀 ?Kwa hivyo utakuwa umesave ile riba ambayo ulibidi kuipa benki, na utakuwa umeokoa hela nyinigi na hasa kuitajirisha benki kirahisi.
Kanyaga twende kiongozi tumechelewa mnoo.Kwa moyo wa dhati kabisa napenda kuwashukuru nyote mlionisapot kimawazo kupitia Uzi huu....nimeamua kuchukua huo mkopo Kwa moyo mkunjufu mengine Mungu atanisaidia
Wapi unapatikana mkopo usio na riba mkuu?Mkopo wenye Riba hauna baraka...utakufelisha tu mbeleni
Hizo hesabu ni kama angekuwa anachukua muda wa mwaka mmoja kurudisha, sasa yeye ni miaka 9Riba ya 16% ya 50M ni milioni 40 na sio 8M,naomba ufafanuzi kidogo hapa
Security yako huo mkopo ni nini Ili niweze kukushauri vizuri?Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Achana na kusave pesa bank bora aweke UTTNakushauri uachane na huo mkopo. Unaweza kufikiri 50m, ni pesa nyingi, lakini kwa hali ya uchumi ilivyo sasa, ni pesa kidogo sana.
Badala yake save benki hiyo pesa ambayo ungelipia huo mkopo. Iweke kwenye fixed deposit account kwa miaka mitano. Tanzania commercial bank
Baada ya miaka mitano utakuwa umesave 50m, ukijumlisha na riba inaweza kufika 70m
Ukweli mchungu sema nini muache achukue maana ni kama kashaamua halafu iko siku atakuja hapa kuusoma tena huu uzi kwa uchungu [emoji23][emoji23]ushauri wa bure ndugu yangu,kukopa harusi kulipa ni matanga miaka 9 ni mingi mnoo kama unauwezo dunduliza pesa yako,nnamkopo wa miaka 4 naliona joto lake nilikopa nikaekeza ktk biashara,plani ikaenda mrama nalipa uku nnaumia
Huwezi kutajirika na hela benki ,utapoteza weweHabari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?