Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Chukua mwanangu, alafu toa 10M katengeneze Tent za kukodisha 5, kwa mwaka jiwekee kurudisha mkopo kwa kiasi cha 10M ndani ya biashara zako tu. Tent pekee kwenye hio 10 zinakupa 5M, hio 5M nyingine angalia 40M utaiwekeza wapi.
Usimdanganye Mtumishi wa umma
 
Mkuu kwa ushauri.tu, nenda na NMB ukalinganishe. Hiyo riba crdb na marejesho ni kubwa mno.

Ila nmb hawana mashart ya kingese. Crdb ilikuwa niuze deni benk ingine, jamaa wanakataa kata kata, nikasema one, nikaachana nao. Mkopo huo wa 50m utalipa si miaka 9 tu, crdb ni benk ambayo ingeendelea kitambo, tatizo ni urasimu.

Yaan hata kadi yao nimeichoma moto
Kadi Yao ikipotea unailipia 23000/=,wanajeuri hao,wanajibu hovyo UKIWA na shida
 
Habari za asubuhi wadau.

Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Wewe unawajua CRDB vizuri we chukua mkopo halafu baadae uanze kuongea kiarabu CRDB hawakuelewi,Bora NMB
 
Chukua iyo 50ml tafuta odds 2 tupia yote ule 100+ ml rudisha 90ml haraka .afu uje na iyo 10ml ilio baki nku taftie odds 5 upate 50ml yako
 
Hii pesa nataka nikainvest Kwenye mutual fund ambapo interest yake ni compound interest
Hiyo Mutual Fund itakupa zaidi ya 16% per annum?
Maana usije ukawa unalazimika kutafuta pesa kwingine kuongezea ili kutimiza marejesho
 
Back
Top Bottom