UpiNataka niifanyie uwekezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UpiNataka niifanyie uwekezaji
Usimdanganye Mtumishi wa ummaChukua mwanangu, alafu toa 10M katengeneze Tent za kukodisha 5, kwa mwaka jiwekee kurudisha mkopo kwa kiasi cha 10M ndani ya biashara zako tu. Tent pekee kwenye hio 10 zinakupa 5M, hio 5M nyingine angalia 40M utaiwekeza wapi.
Kadi Yao ikipotea unailipia 23000/=,wanajeuri hao,wanajibu hovyo UKIWA na shidaMkuu kwa ushauri.tu, nenda na NMB ukalinganishe. Hiyo riba crdb na marejesho ni kubwa mno.
Ila nmb hawana mashart ya kingese. Crdb ilikuwa niuze deni benk ingine, jamaa wanakataa kata kata, nikasema one, nikaachana nao. Mkopo huo wa 50m utalipa si miaka 9 tu, crdb ni benk ambayo ingeendelea kitambo, tatizo ni urasimu.
Yaan hata kadi yao nimeichoma moto
Wewe unawajua CRDB vizuri we chukua mkopo halafu baadae uanze kuongea kiarabu CRDB hawakuelewi,Bora NMBHabari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Na wafanyabiashara wale wakubwa wanaokopa kuendeleza biashara zao zikue zaidi na zinakuwa hii imekaaje??Huwezi kutajirika na hela benki ,utapoteza wewe
Ingekuwa mkopo ni wa mwaka 1 ndo angelipa riba hiyo ya 8m. Muda wote riba inatozwa kwenye outstanding balanceRiba ya 16% ya 50M ni milioni 40 na sio 8M,naomba ufafanuzi kidogo hapa
Hahaha...Chukua kagombee ubunge CCM, UKIPATA UKAWA WAZIRI ZINARUDI NDANI YA MWAKA, UKIKOSA UKAKUWA MGANGA WA KIENYEJI AU KUFUNGUA KANISA, ZITARUDI FASTA
Mbona wacheza kamari sijui betting ni hohehahe wa kutupwa?!!!We bana hadi ukope chukua zako laki tafuta odd 500 tia laki yako uvuna zako m70 hakuna makato wala riba
Hiyo Mutual Fund itakupa zaidi ya 16% per annum?Hii pesa nataka nikainvest Kwenye mutual fund ambapo interest yake ni compound interest
Kwani mkopo ni wa mwaka mmoja?Sijaelewa.
Mkopo 50M
Riba 16% = 8M
Mkopo + Riba = 58M
Sasa hiyo 90M rejesho inatoka wapi?
Tupe connection mkuuPambaneni na hali zenu. Sisi hapa Nungwi tunaokota Dollar kama mchanga