Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
1. Matumizi mabaya ya pesa Kwa Yanga inawaunganisha mashabiki na wapenzi hata mtani wake wa jadi kuwa pamoja Kwa njia ya supu, (frequently holding get together parties 🥳), yaani washabiki wa yanga waendelee kuwa na furaha kibaya zaidi hata supu ya ngamia wanafakamiaKamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA
Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.
Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:
Kanuni za FIFA, Kifungu cha 4: Kinachokataza ubaguzi wa kisiasa na ushawishi wa kisiasa katika soka.
Kanuni za FIFA, Vifungu vya 14 & 19 Vinavyotaka klabu na mashirikisho ya soka kuwa huru na bila ushawishi wa kisiasa.
Ushiriki wa aina hii unadhoofisha kanuni ya kutokuwa na upande katika michezo na unaweza kuweka mfano hatari wa kisiasa kuingia katika klabu za soka Tanzania na kwingineko.
Naiomba FIFA kuchukua hatua zifuatazo:
1. Kuanza uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli za kifedha na kisiasa za Yanga SC.
2. Kuomba taarifa kamili ya michango na ushiriki wa klabu hiyo katika siasa.
3. Kutoa adhabu zinazofaa iwapo uvunjaji wa kanuni za FIFA utathibitishwa.
Jambo hili ni la dharura hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi wa 2025 unakaribia, na kuendelea kwa ushiriki wa kisiasa na taasisi za soka kunaweza kuharibu uadilifu na kutokuegemea kwa michezo.
Niko tayari kutoa ushahidi au nyaraka zitakazosaidia katika uchunguzi wenu.
Asanteni kwa kulipa kipaumbele suala hili.
Niongeze nini hapa wakuu. Hii issue ya Yanga ni serious sana
Na huwa wanaenda kusoma jinsi ya kuendesha mpira kisasa, (modern football admission skills) , walienda kwingineko kabla ya kwenda Marekani kusomaOngezea Nyama
Waambie FIFA watendaji wa YNG wanagombea Ubunge!
Kipenzi changu, upo? Namaanisha wewe, siyo mtoa mada.Unapoteza muda.
Nipo kabisaKipenzi changu, upo? Namaanisha wewe, siyo mtoa mada.
Basi nimefurahi sana kama upo. Weekend hii kama vipi tupate muda wa faragha.Nipo kabisa
Usiniambie hujaelewa!Mrudishie mwenyewe simu yake
Wewe sasa ndiyo mjukuu wangu ninaye mfahamu. Mjukuu ambaye amesoma CUBA na kupata D za kutosha.Sasa ndo nimekuelewa
Clip ya Hersi umechukua?Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA
Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika kampeni za uchaguzi.
Kwa mujibu wa ripoti za kuaminika na taarifa za umma, Yanga SC inatangaza kutoa msaada wa kifedha kusaidia kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha sasa nchini Tanzania. Tukio hili, likithibitishwa, linamaanisha ushiriki wa kisiasa na klabu ya soka, kinyume na:
Kanuni za FIFA, Kifungu cha 4: Kinachokataza ubaguzi wa kisiasa na ushawishi wa kisiasa katika soka.
Kanuni za FIFA, Vifungu vya 14 & 19 Vinavyotaka klabu na mashirikisho ya soka kuwa huru na bila ushawishi wa kisiasa.
Ushiriki wa aina hii unadhoofisha kanuni ya kutokuwa na upande katika michezo na unaweza kuweka mfano hatari wa kisiasa kuingia katika klabu za soka Tanzania na kwingineko.
Naiomba FIFA kuchukua hatua zifuatazo:
1. Kuanza uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli za kifedha na kisiasa za Yanga SC.
2. Kuomba taarifa kamili ya michango na ushiriki wa klabu hiyo katika siasa.
3. Kutoa adhabu zinazofaa iwapo uvunjaji wa kanuni za FIFA utathibitishwa.
Jambo hili ni la dharura hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi wa 2025 unakaribia, na kuendelea kwa ushiriki wa kisiasa na taasisi za soka kunaweza kuharibu uadilifu na kutokuegemea kwa michezo.
Niko tayari kutoa ushahidi au nyaraka zitakazosaidia katika uchunguzi wenu.
Asanteni kwa kulipa kipaumbele suala hili.
Niongeze nini hapa wakuu. Hii issue ya Yanga ni serious sana
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Kanuni za FIFA
Kifungu hiki hapa Kipenzi Changu tumia kama reference kwenye barua yakoKamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA

Nakuunga mkono, lazima tukomeshe hiyo tabia ya kunajisi football.Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA