Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

Mimi kama mwana Yanga nakuunga mkono. Kama ni adhabu tupigwe tu ili iwe fundisho kwa wengine pia. Shenzi kabisa
 
Ongezea Nyama
Waambie FIFA watendaji wa YNG wanagombea Ubunge!
Hii ni madhara ya,WANA MTANDAO NCHINI by Polepole, mtandao umeingia kila mahala serikalini,club za mipira misikitini,makanisani,vyombo vya dola ,wafanya biashara,,vyuoni, vyombo vya habari nk ushawishi wao mkuu ni pesa tena zile chafu.TISS ni wakati wenu kuonyesha taaluma na umahiri wenu kudhibiti hali hii hatari kwa usalama wa nchi yetu. Tumlinde Mama Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…