Ninatamani kula wakati wote na huwa napata njaa masaa machache tu baada ya kula, nina tatizo gani?

dawa: juisi ya papai iliochanganywa na limao mara mbili kwa siku asubuhi na jion kwa siku tatu tu.....rejesha mtejesho baada
 
Minyoo Bab lai una minyoo ety co kwa ulaji huo
 
Hiyo ni hatari hasa kwa mtoto wa kiume unakua unayaweka malinda yako rehani
 
Sasa kila unachoshauriwa hutaki, kupima kisukari hutaki, uzito hutaki, minyoo hutaki.

Itakuwa nini Sasa, ukute umempa mimba mtoto wa mganga na dalili ziko kwako.
Nishapima vyote hivyo sina hata chembe
 
Kuona kila dalili matatizo ya mleta mada kuwa kwenye ubongo. Hizo ni stress na usipodili nazo zinaleta depression.

Muons daktari wa ubongo (neurologists)
 
Kuona kila dalili matatizo ya mleta mada kuwa kwenye ubongo. Hizo ni stress na usipodili nazo zinaleta depression.

Muons daktari wa ubongo (neurologists)
Dada mbona mimi nina furaha kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…