Mikwara Ya Andunje
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 391
- 804
Punguza ubishiSina dalili yoyote ya uneven blood sugar
Vipimo ndio vina majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza ubishiSina dalili yoyote ya uneven blood sugar
Labda una ujauzito mkuuAcha ubishi
Sina abnormal blood sugar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda una ujauzito mkuu
Tusivunjiane heshima bro..
Bab lai una minyoo ety co kwa ulaji huoMf, nikishakula ugali(Wakushiba kabisa) mchana saa saba mida ya saa kumi kasoro jioni nakua nimeshapata njaa tena.
Nikinywa chai asubuhi saa mbili, saa tano nakua nimeshapata njaa tena.
Pia huwa ninatamani kula kula muda wote
Hii ni shida gani madokta? Na vipi tiba yake?
Maana hali hii sio rafiki kabisa
mnyoo vipi umechungulia usijekuwa unKula wewe na jeshi la TEGU.
karibu mkuuMkuu comment zako huwa zinanifurahisha sana
AhahahahahaSasa kila unachoshauriwa hutaki, kupima kisukari hutaki, uzito hutaki, minyoo hutaki.
Itakuwa nini Sasa, ukute umempa mimba mtoto wa mganga na dalili ziko kwako.