kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
😅😅...unaanza kufikiria jina kabla haya y kupata mitambo mkuu?lakini ni wazo tu mkuu
Nafkiri anaulizia jina ili aweze kwenda physically akajionee na kupata mawili matatu sio mbaya kama utamtajia jina la kiwanda utakuwa umemsaidia pia kwa njia moja au nyingine...!
For learning purpose mkuu[emoji28][emoji28]...unaanza kufikiria jina kabla haya y kupata mitambo mkuu?lakini ni wazo tu mkuu
Hao tariri(li) sio kiwanda..nadhan wako chini ya wizara ya mifugo..ila nahakika kibaha wana kituo!..ndo wazalishaji wa mitamba!...usilogwe kimleta ngombe wa mbeya ukampeleka kibaha...lol..watakufa!
Sababu inakuwa ni nini...?
Hali ya hewa sisi tulihama na ng'ombe wazuri mno mno zaidi ya 40!/wakaenda ifakara ndan ya 4yrs wote wakawa wamerip!