Ninatamani kupata utaalamu wa kufuga ng'ombe, ila sijui nianzie wapi

Ninatamani kupata utaalamu wa kufuga ng'ombe, ila sijui nianzie wapi

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
410
Habari Wakuu,

Namependa aina ya biashara ya kufuga ng'ombe. Mimi ni kijana wa miaka 29 ninatamani kupata utaalamu wa kufuga ng'ombe ila sijui nianzie wapi kuanzia;

- Aina ya Ng'ombe
- Muda wa kuwatunza
- Aina ya chakula
- Mazingira ya kuwatunza
- Makadirio ya faida
- Ushauri binafsi

Asanteni sana wakuu, natanguliza shukrani

NB:
Nina kashamba nimenunua mkoa wa pwani kama Hekari 20


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakala wa hizi mambo watafute wana mitamba mizuri...!nadhan wana kituo dodoma au kibaha...ukikosa sana nenda magereza...usijimix ukachukua ngombe anayeishi mazingira ya baridi ukampeleka kwenye joto...!
Naamin ufugaji wa ng'ombe unalipa kuliko wa kuku!
Kila la heri!
 
Usiishie kufuga tu..fikiria kufungua kiwanda cha maziwa!...kuna kijana yanki sana wa 29 ana kiwanda cha maziwa musoma!yy muda wote anatabasamu tu...amethubutu sana na ameweza .ingia hata ubia na mtu ujenge kiwanda cha maziwa..kusanya maziwa kwa wamasai wote wa hpo kati!
Andika proposal nzuri utaeleweka sana benki!
 
Nafkiri anaulizia jina ili aweze kwenda physically akajionee na kupata mawili matatu sio mbaya kama utamtajia jina la kiwanda utakuwa umemsaidia pia kwa njia moja au nyingine...!


Ohooo sikukupata nadhan wanaitwa Tariri(li) sikumbuki vyema!magereza unaenda tu..sema wako juu kidg bei zao!...
 
Hao tariri(li) sio kiwanda..nadhan wako chini ya wizara ya mifugo..ila nahakika kibaha wana kituo!..ndo wazalishaji wa mitamba!...usilogwe kimleta ngombe wa mbeya ukampeleka kibaha...lol..watakufa!
 
Hao tariri(li) sio kiwanda..nadhan wako chini ya wizara ya mifugo..ila nahakika kibaha wana kituo!..ndo wazalishaji wa mitamba!...usilogwe kimleta ngombe wa mbeya ukampeleka kibaha...lol..watakufa!

Sababu inakuwa ni nini...?
 
Hali ya hewa sisi tulihama na ng'ombe wazuri mno mno zaidi ya 40!/wakaenda ifakara ndan ya 4yrs wote wakawa wamerip!

Oooh Owkay kumbe inachukua muda mref mpaka kufa...! Hamkuwapa huduma yoyote baada ya kuhama nao au hamkujua hiko kitu...?
 
Back
Top Bottom